Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu ameshika madaraka Mh.Rais J.P.Magufuli anefanikiwa sana kudhibiti mauaji na hujuma dhidi ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yaani Albino. Kwa hili tunatakiwa kumpongeza sana.
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Niliwahi kusema huwezi kutenganisha uhalifu wanaofanyiwa wafuasi wa vyama vya upinzani na mkono wa wafuasi wa CCM. Mauaji ya kamanda Mawazo, Diwani wetu wa USA River Mhe.Msafiri Mbwambo) aliyeuawa...
1 Reactions
57 Replies
7K Views
Tanzania itaendelea kuunga mkono jitihada za kikanda na kimataifa zinazoendelea katika kutafuta amani ya kudumu katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Hayo...
1 Reactions
1 Replies
336 Views
Updates Washtakiwa wanne kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo wamehukumiwa adhabu ya kifo baada ya mahakama kuwatia hatiani kwa kosa la mauaji ya...
10 Reactions
63 Replies
14K Views
Igweee nimekaa na kuwaza sana nakusoma comment za waja nyingi sana ila jambo nimekuja kugunduwa JK ana akili sana tena sio wakumchukua poa. JK ni mwanajeshi mstaafu nje ya Urais na anakumbuka...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba kuuliza swali moja. Kelele tulizipiga sana kuwa Magufuli hayati ni dikteta na hakuwa anafuata sheria. Je, CCM ya sasa na ile ya hayati ina tofauti gani? Naomba tusitoe mapovu bali...
3 Reactions
10 Replies
698 Views
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi. Niko na...
11 Reactions
189 Replies
20K Views
Sekta ya uzalishaji inatarajiwa kuingia katika hatua mpya ya maendeleo ambapo viwanda vitaendeshwa kikamilifu kwa teknolojia bila kuhitaji wafanyakazi wala mwanga. Viwanda hivi vitajulikana kama...
0 Reactions
3 Replies
330 Views
Ndugu zangu Watanzania, Viongozi wa Dini Wameomba na kumsihi Rais Samia awapatie nafasi ya kuwa na uwakilishi Bungeni ili waweze kushiriki vyema katika kutoa michango na mawazo katika utungaji wa...
9 Reactions
58 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Radio Free Africa leo kwenye habari kwa ufupi saa nane mchana imeaarifu kuwa Watuhumiwa hao wame achiwa huru na mahakama baada mwendesha mashtaka kusema hana nia kuendelea na kesi. Ikumbukwe...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wachimbaji wadogo wa madini nchini wanakuomba kwa dhati, Spika wa Bunge, ufanye maamuzi yanayohitajika kuhusu kumbadilisha, mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya nishati na madini, Dr...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Wakuu, Wakiwa wanahojiwa kwenye kituo cha TVE wananchi wa mbalimbali wametoa maoni kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye Uchaguzi. Mmojawapo wa wapiga kura alidokeza kwenye mtaa wake hakuna...
1 Reactions
5 Replies
467 Views
Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha. Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi...
0 Reactions
7 Replies
694 Views
=== Hatimaye sera za mzee Hashimu Rungwe Sipunda wa chama cha CHAUMA zaanza kupata utetezi wa kisayansi polepole baada ya miaka kumi kupita ( 10 ) Leo tutamuangazia Mkurugenzi Mkuu wa...
26 Reactions
101 Replies
5K Views
Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X "Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Notorious BIG aliwahi sema maneno yenye maana ifuatayo juu ya kifo cha 2pac “Sure we had our hardships, but I would never wish death upon no one. There's no coming back from that.” RIP Biggie and...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
Mkapa alianzisha vitu vingi kama 1. TRA .2. NSSF 3. Bodi ya mikopo Nk
4 Reactions
15 Replies
513 Views
Kwakua CHADEMA haiaminiki tena kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, na kwakua chadema ndiyo chama cha siasa Tanazania, kinacho ongoza kwa kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwajili ya...
4 Reactions
82 Replies
3K Views
The Untold Story of John Magufuli's Death: What Really Happened? Video Credit: kavaziOfficial (YT) 1. Introduction: The death of John Pombe Magufuli, the fifth President of Tanzania, on March...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Back
Top Bottom