Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.youtube.com/watch?v=BZquug8cV1s Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka, na mdau wa maendeleo Musoma Vijijini, Muinja Maingu, amesema...
1 Reactions
1 Replies
363 Views
Je, Mbowe Amesusa CHADEMA au Hashirikishwi? Uongozi Uliopita na wa Sasa Katika muktadha wa siasa za Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepita katika vipindi tofauti vya...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Katika juhudi za kukabiliana na mila potofu, imani zisizo sahihi na ushirikina unaodhuru watu wenye ulemavu, wadau wametoa wito kwa serikali kuhakikisha inakamilisha mchakato wa kuridhia Itifaki...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amesema kuwa vyama vya upinzani havina maandalizi wala ushawishi wa kushindana na wagombea wa...
1 Reactions
5 Replies
451 Views
Tanzania inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawatts zaidi ya 100,000 hii inatokana na vyanzo vya umeme vilivyopo kama vifuatavyo Uwepo wa gesi asilia Uwepo wa makaa ya mate Uwepo wa upepo singida...
2 Reactions
12 Replies
698 Views
"Jana tarehe 16/03/2025 nilipata wasaa wa kutembelea soko la Samaki la katika Kijiji Cha Mchinga II kilichopo katika Jimbo la Mchinga na kujionea shughuli za biashara ya Samaki zinavyofanyika...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Wakuu, Wakuu, Majina ya vigogo waliokuwa wakipiga simu kuwatisha wajumbe wa kamati ya kuchunguza wafanyabiasha wageni hususani Kariakoo yatawasilishwa kwa mamlaka za juu kwa hatua zaidi.
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametoa rai kwa vijana wenye sifa kujitokeza kugombea udiwani na ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
This review was originally published at www.thechanzo.com Book Review "In the Name of the President : Memoirs of a Jailed Journalist". By Katundu Kassim. The German philosopher Georg Wilhelm...
20 Reactions
76 Replies
6K Views
Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje...
11 Reactions
48 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) na Mkurugenzi wa Jamvi Media Group, Habibu Mchange, amepongeza juhudi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
0 Reactions
1 Replies
473 Views
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu kwaniaba ya Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo Machi 17, 2025 amesema ndani ya miezi minne ya Rais Samia Suluhu...
0 Reactions
4 Replies
438 Views
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utaendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam, kuanzia Machi 17, 2025 hadi Machi 23, 2025. Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Wakuu, Makamu wa kwanza wa Rais, Othman Masoud Othman, amejiandikisha katika Daftari la Wapigakura wapya katika kituo cha uandikishaji Shule Mpendae, visiwani Zanzibar. Akizungumza baada ya...
1 Reactions
0 Replies
276 Views
Mheshimiwa Lema alikishiriki mazishi ya Mbwa huko mkoani Arusha, mwaka 2017.
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Makamu Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi Bara Ndg.Stephen wasira amefika tayari Mkoa Wa Mbeya tayari kwa ziara ya Sikuu Nne ambapo atatembelea wilaya zote za Mkoa Wa Mbeya kwa Ajili ya Kusikiliza...
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Diwani wa Kata ya Chanika na Naibu Meya wa Ilala Masaburi Deoglas Masaburi, amesema kutokana na kufanya vizuri kwenye Uandikishaji wa Daftari la Kudumu lililopita na kupelekea Ushindi wa kishindo...
0 Reactions
6 Replies
797 Views
Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira kupitia ACT Wazalendo, Ndolezi Petro, ameitaka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhakikisha kuwa ugawaji wa majimbo...
0 Reactions
1 Replies
423 Views
Mwamba amekwenda lakini maono yake yatabaki vizazi kwa vizazi... vitahadithiana aliwahi pita mwamba katika nchi hii aliyeweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache aliyokalia kiti cha...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom