Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo. Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa...
12 Reactions
57 Replies
4K Views
Wakuu, Karibu wenye kila mkutano wa ndani ambao Rais Samia huwa mgeni rasmi, huwa kunakuwa na vikundi vywa kutumbuiza yaani wasanii wakubwa wa muziki, wa mashaiemri, kuna ngoma nk. Sasa wasanii...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Huyu Jamaa anaitwa Mtulia aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni 2015-2020. Mwaka 2017 alijiuzulu ubunge na akahamia Ccm . Wakati wa uchaguzi mdogo chadema walinyimwa viapo kwa mawakala wake. Na ndipo...
2 Reactions
8 Replies
792 Views
Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa. Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na...
8 Reactions
80 Replies
2K Views
Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela jijini Mwanza inakabiliwa na tuhuma za kujipatia zabuni tatu za kujenga meli katika maeneo mbalimbali hapa nchini bila kuwa na sifa zinazohitajika kitendo...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM taifa Bw. Mohammed Ali Kawaida amesema wapinzani hawajajipanga na hawana ushawishi wa kusimama na wagombea wateule wa urais CCM, Dkt. Samia...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Tanzania Bara Bw. Stephen Wasira amewasili Mkoa wa Mbeya kwa ziara ya siku nne kuanzia Machi 17-20, huku akitoa maagizo mazito kwa halmashauri zote...
0 Reactions
10 Replies
896 Views
Kumbukizi ya Magufuli: Nami Niseme Mambo Sita! Denis Mpagaze _________________________ Ni mwaka wa nne sasa Mzee John Pombe Magufuli amelala! Namisi sana ziara zake, hotuba zake, utani wake...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Siku moja baada ya mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi, Omari Mahita kutoa ushauri wa kukabiliana na changamoto za wanasiasa, vyama vya upinzani vimesema hauna mashiko na unajenga uadui kati ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayosema “WEZI WAIBA BASI LA POLISI MKOANI MBEYA” na kuiomba Jamii kupuuza taarifa hiyo kwani...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
KWANINI TONE TONE NA SI KUHUHISHA KADI? Chadema kama chama kingine chochote cha siasa njia kupata fedha ni kuuza na kuhuisha kadi za uanachama. njia ya kadi ina faida za kifedha, pia kupata...
1 Reactions
9 Replies
402 Views
Kwa uhakika, uovu uliofanywa na CCM kwa Taifa hili haufikiwi hata na ule uliofanywa na mkoloni Mwingereza: WAKATI WA UKOLONI Wakati wa kupambana kutafuta uhuru, Mwalimu Nyerere (RIP), Rashid...
12 Reactions
28 Replies
1K Views
Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno...
0 Reactions
10 Replies
961 Views
Hivi ndivyo Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika alivyoongoza jopo la viongozi wa chama hicho kufika kwenye ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa leo, Jumanne Machi...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Kagame kweli kajaa kiburi! Kwenye kurasa zake za Mitandao ya Kijamii amerusha Video akiongea kuhusu Mgogoro wa Congo jana kwenye kikao chake na Wakuu wa EAC Kamgombeza kama mtoto mdogo Rais wa...
31 Reactions
206 Replies
11K Views
Mwaka wa nne leo tunapo kumbuka siku ile tunaarifiwa kufariki kwake. Tunashukuru tupo salama kama taifa japo mambo madogo madogo yasio sawa yanatupa usumbufu lakini hatuna budi kushukuri kwani...
10 Reactions
31 Replies
1K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Suleiman Jafo, ameagiza kuanza mara moja kwa operesheni maalum ya kuwaondoa wageni wanaofanya biashara kinyume na taratibu katika soko la Kariakoo, jijini Dar es...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso, amewapongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa kumaliza Mradi wa Maji wa Bangulo kwa Wakati huku akiwahimiza Wananchi Pugu...
0 Reactions
7 Replies
739 Views
Kuna taarifa za Wanaojiandikisha kuambiwa kupeleka kadi zao kwa Wajumbe wa CCM. Huu ni uzandiki uliopitiliza. Kuna taarifa za watu wasio raia kujiandikisha kwenye daftari la Wapiga kura. Kuna...
2 Reactions
10 Replies
620 Views
Back
Top Bottom