Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuajiri watumishi/wafanyakazi ni mchakato ambao unafanywa na watu wenye elimu na uzoefu wa kazi hiyo. Sasa napata mashaka pale ninapoona kasoro katika mchakato wa kuajiri wafanyakazi kwenye sekta...
2 Reactions
1 Replies
352 Views
Ni kiri kuwa mikopo ya umizi au kausha damu inawaumiza sana wananchi maskini. Hili ni tatizo kubwa na hata serikali wanalijua. Cha kusikitisha ni kwamba serikali wamekuja na njia ipi ya kumkomboa...
2 Reactions
2 Replies
384 Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema wameaswa kutojihusisha na wagombea wa "mfukoni" wanaojipitisha majimboni na kata kutafuta nafasi za uongozi kabla ya wakati rasmi...
1 Reactions
1 Replies
270 Views
Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya leo amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika nyadhifa za serikali na bodi za kitaifa. Kwa mujibu wa...
8 Reactions
75 Replies
6K Views
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, leo amekutana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ofisini kwake, Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya kujitambulisha...
3 Reactions
110 Replies
24K Views
Salamu ndugu Watanzania! Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena. Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu...
8 Reactions
64 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Wizara ya Ardhi kwa kutekeleza maelekezo yake ya kuondoa mila potofu iliyokuwa inawanyima Wanawake haki ya kumiliki ardhi ambapo amesema kwa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Maelfu ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini, 19 Machi 2025 wamekutana mkoani Morogoro kusherehekea miaka minne ya dhahabu ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata taarifa na...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Mh ZITTO naona kama PINDA mnataka kumsukumia zigo la dhambi kwa kumuwajibisha kutokana na makosa ya mawaziri wengine. Kwa ni nini tusilie na yule aliyewateua na kuunda baraza lao. Tunajua Pinda...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Tamaa ya uongozi na idadi kubwa ya ahadi zisizotekelezeka Na Juma Kidogo Ni siku na wakati mwingine tena tunakutana ndugu zangu wapendwa katika ulingo huu wa siasa ili kujadili mambo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
REDET, SYNOVATE na, wagombea wametugeuza watanzania ‘ndondocha’ Wagombea wote watakaoshindwa kutimiza ahadi zao washitakiwe kwa makosa ya utapeli na udanganyifu Na Juma Kidogo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mambo yanayosikitisha. Ambayo hata ukiambiwa mtu mwenye akili timamu huwezi kuamini. Ni kichaa peke yake, tena yule mwehu ambaye hajapata matibabu ndio anaweza kuamini kuwa, spika wa bunge...
9 Reactions
63 Replies
6K Views
Sisi watanzania ni wanafiki, kazi yetu ni kupiga domo sana huku wachache wakila nchi. Rasilimali za nchi wanafaidi watu wachache. Wakitokea mashujaa wachache kujaribu kuleta mageuzi. Tunachochea...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
..hivi hata kulaani mauaji ya askari wetu waliokwenda kulinda amani DRC tumeshindwa? ..M23 wameuwa askari wetu kwanini hakuna tamko kali toka kwa serikali dhidi yao? ..Na Rwanda wakiwa ni...
7 Reactions
18 Replies
839 Views
Mwenyekiti wa Bodi (JUKATA), Dkt Ananilea Nkya anazungumzia mchakato wa zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji Wapiga Kura linaloendelea Dar es Salaam. Kuhusu mwitikio sijafanya utafiti lakini...
1 Reactions
1 Replies
366 Views
Licha ya historia yake kongwe na mchango wake katika uchumi wa nchi ila bado miundominu yake Ina hali dunia?Unaweza kunieleza sababu ni Nini? Kwa mfano hata mradi tu wa LNG Lindi hata tu maofisi...
2 Reactions
8 Replies
501 Views
Wakazi wa Tawi la Mnarani, Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Dimani, Unguja ni kama hawana tawi licha ya kwamba lipo na Wananchi wanalijua. Nina mzee wangu ambaye yupo hapo...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Mihemko kwenye mijadala, makasiriko kwenye hoja nzito, dhihaka kwenye ukweli, ghadhabu kwenye maoni tofauti, hasira na hata saa zingine kuporomosheana matusi mazito mizito bila hata sababu, Hua...
2 Reactions
42 Replies
1K Views
Wananchi wa Jimbo la Moshi kwa ujumla wamewasilisha maoni yao kuhusu uongozi wa mbunge aliyepo madarakani. Wameeleza wasiwasi wao na kumshauri asichukue fomu kuomba kugombea tena ubunge kupitia...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom