Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelipongeza jeshi hilo kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa weledi katika mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma pamoja na wa Chadema...
0 Reactions
8 Replies
674 Views
Nimemaliza kuisoma Katiba ya Chadema na nimejiridhisha kuwa Chadema ina Mwenyekiti Mtendaji Tundu Lisu hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila uchokozi uliofanywa na Wenje ndio ukamkasirisha akataka...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Salamu kwako Mzee wangu Freeman Mbowe a.k.a FAM. Ni Matumaini yangu u heri wa Afya. Dhumuni la Waraka huu ni kukuelezea Yafuatayo / bucketed 1. Inawezekana kabisa una Ushawishi Mkubwa ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
574 Views
Wanabodi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ""Umasikini mkubwa zaidi na umasikini m-baya zaidi, ni umasikini wa fikra!". Hii ni ile hali ya mtu kuwa na mawazo ya kimasikini, unakuwa...
17 Reactions
47 Replies
4K Views
Jamani naanzisha zogo kile kimetokea mkutano mkuu Hayati baba wa Taifa angekuwa hai kingepita yaani Mzanzibari Bara na Mzanzibari visiwani yaani nchi ipo luteka naomba kuwasilisha naomba...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Mpendwa Kiongozi wetu, Nakupa salamu za...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwenye sayansi ya tiba na saikolojia kuna kitu kinaitwa "anxiety" na "Post-traumatic stress disorder' au PTSD. Hizi ni hali zinazomkabili mtu baada ya kupitia tukio fulani linaloacha kumbukumbu...
5 Reactions
9 Replies
770 Views
Hebu wakuu nanyi muicheki tuone kama bado inalipa. Hii iliandikwa kipindi kile cha mwaka 2015 wakati TAL anagombea urais. Katika uzi mmoja nikasema kama wakivuka salama hawa wakuu na FAM akawa...
2 Reactions
4 Replies
433 Views
Tangu CHADEMA kutangaza mchakato wa kumpata Mwenyekiti, wagombea hawakulala, walitoa ya moyoni.Wengi walituhumu, wengine walitoa maneno ya kashifa ili kuvutia kura upande wao, Wenye Hekima na...
2 Reactions
0 Replies
372 Views
Ntobi na jamaa yake Yericko Nyerere hatimaye wamebaki hadithi na maujinga yao ya kumtweza Lissu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA kumalizika. Ninao uhakika kwa sasa nafsi zao zinapitia wakati...
0 Reactions
3 Replies
420 Views
Jeshi, Polisi na Usalama msijihusishe na siasa na kuanza kupendelea vyama kwasababu inaelekea wananchi wengi sio washabiki wa vyama bali ni wapenda haki. Vitendo vya watu kuona waziwazi wanaiba...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Mungu amefanya kazi, nimezaliwa upya baada ya kuponywa kutoka ICU. Nilijeruhiwa na siasa mufilisi za chama changu CHADEMA ambazo ziliniliza kwa miaka kadhaa. Ama kweli sasa nipo tayari...
3 Reactions
4 Replies
470 Views
Hali yangu na hawa wenzangu ambao tulijitolea kwa hali na mali kumshambulia Lissu na kumsifu Mbowe ni mbaya. Hatuna raha, tumekonda ghafla na nuru imezidi kufifia. Hiki ni kipindi ambacho...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanabodi, Niko hapa Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM, nimelala bonge la hotel, bonge la chumba, bonge la kitanda, ila sisi watu wa yale mablengeti, nimejikuta nimekosa kabisa usingizi, hivyo...
14 Reactions
36 Replies
2K Views
Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho...
8 Reactions
88 Replies
4K Views
51% vs 49% ni ushindi mwembamba sana ambao ulimfanya mchungaji Msigwa akimbilie CCM kujisalimisha Lakini Freeman Mbowe amekubali na kumpongeza mshindi Tundu Lisu Ni Ukomavu wa kisiasa...
4 Reactions
4 Replies
504 Views
Tumeandaa tafrija fupi ya kuwapongeza waheshimiwa Tundu Lissu na John Heche kwa ushindi wao katika uchaguzi Mkuu wa CHADEMA uliofanyika jana/leo. Lakini pia katika tafrija hiyo tutampongeza...
2 Reactions
4 Replies
693 Views
Salaam wana jukwaa, Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kushuhudia UCHAGUZI WA kihistoria ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo. Pia nichukue nafasi hii kumpongeza mh Tundu...
2 Reactions
2 Replies
464 Views
Hivi yule Mzee alikuwa na matatizo ya afya ya akili? Miaka 5 anazunguka Tanzania nzima kujinadi halafu kipindi cha uchaguzi mkuu 2020 bado tena akawaminya kwa kutumia Dola. Mtu mwenye akili...
5 Reactions
9 Replies
538 Views
Ndugu Lissu. Tumeziona teuzi zako, lakini hatuoni kuwa iko sahihi Lema kubaki bila kuwa na nafasi yoyote nzito ya kiuongozi hapo CHADEMA. Huyu mtu alikuwa critical kwenye ushindi, ni kichwa...
10 Reactions
42 Replies
2K Views
Back
Top Bottom