Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili.
Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi.
Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni...
KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) MKOA WA DAR ES SALAAM IKIONGOZWA NA NDUGU MWENYEKITI NASRA M.RAMADHANI
Umoja wa vijana wa CCM Wameandelea na zoezi wilaya...
Akizungumzia zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika katika Mkoa wa Dar es Salaam Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)...
Mhe. Rais wa Tanzania amefanya mengi sana makubwa na kubwa kuliko yote ni kumalizia Miradi waliyoianzisha yeye na Hayati Magufuli.
Ambayo hawakuyaanisha ni mfano kizimkazi festivo ilo sio la...
Hivi karibuni kumeshuhudiwa kuongezeka kwa matumizi makubwa ya pombe kali, hususa kwa vijana kati ya miaka 15 mpk 30, kubeti, uvutaji bangi, mirungi, movi za hovyo, miziki ya hovyo n.k, kama...
Wakuu,
Kwahiyo huduma ya maji tunapewa kama hisani, yaani tunabembeleza kupatiwa huduma bora na stahiki!
Kwamba kupata maji siku za sikukuu na weekend ni mpaka maelekezo yatoke kwa...
Tanzania imefanya mazungumzo ya makubaliano makubwa ya kuiuzia Zambia umeme wa hadi megawati 1000 kwa mwaka, kupitia mkataba wa ununuzi wa umeme kati ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na...
Kuporomoka kwa thamani ya shilingi ni changamoto inayohitaji mikakati madhubuti ya muda mfupi na mrefu ili kuhakikisha tunarejesha uthabiti wa uchumi wetu. Ili kuimarisha shilingi dhidi ya sarafu...
Rais Samia akizindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 Mlimani City, Dar es Salaam
https://www.youtube.com/live/7kRHbQNjPp4?si=klF3x6WIcU8awoZZ
Viongozi mbalimbali wa chama...
Rais wetu Dokta Samia Suluhu Hassan, inadaiwa anataka kuchanganya damu changa sababu kazungukwa na wazee wakina Wasira na Mizrengo Pinda.
Jumaa Aweso ameonekana ni Mchapakazi, sio mla Rushwa...
Wakuu,
Hamuoni kama inachekesha, yaani kama vile serikali na wizara ya maji inatung'onga! Tunalalamika ukosefu wa huduma hii kila leo, kwa wiki tunapata maji mara moja halafu huko kwenye majukwaa...
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.
ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi...
Hayati Magufuli amenifundisha usipokuwa na msimamo hutafanikisha jambo la maana hapa duniani kwa sababu ukianzisha jambo watakaokupinga ni watu wako wa karibu na huenda ni wasomi sana kuliko wewe...
Ni vyema kuzingatia kuwa hoja kama hizi zinahitaji kuwasilishwa kwa heshima na staha ili kuonyesha nia njema na kuzingatia utu. Huu hapa ni mfano wa u
Kulingana na hesabu za numerology pamoja na...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma maarufu MwanaFA amezindua mradi wa maji katika Kijiji cha Kwatango wenye thamani ya shilingi milioni 679.
Akizindua mradi huo...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amesema kuwa tafiti zilizofanywa zimebaini uwepo wa mashaka ya rushwa, hali inayosababishwa na baadhi ya watendaji wasiowaaminifu.
Akizungumza...
WAZIRI KOMBO APOKEA NAKALA YA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA UTURUKI NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.)...
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya uamuzi wa kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, huku akikanusha...
Wakuu, siku ya jana Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa alimtolea povu Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuwa hana mamlaka ya kutoa ruhusa ya magari kutumia njia ya mwendokasi. Ilikuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.