Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya WAJIBU, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh amezungumzia umuhimu wa Wananchi kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura...
Wanabodi.
Kila siku najiuliza sipati jibu sahihi kuhusu wasomi wetu wa Tanzania..
Kwa mujibu wa data za World Bank na IMF Tanzania ipo kwenye kundi la nchi 20 maskini wa kutupwa duniani.
Baadhi...
Kwako WAZIRI wa ARDHI, ndugu Jerry Slaa
Mwaka Jana 2023, miezi ya kukaribia mwisho wa mwaka yalitoka matangazo katika wilaya ya Kigamboni, kuhusu mradi wa viwanja maeneo ya Pemba mnazi.
Masikini...
Hii naongea ili kutoa alert kwa viongozi wote wa serikali na watumishi wa umma.
Unamtukana mtu na unampatia huduma mbovu kumbe anakurecord na mwishowe unaishia kufukuzwa Kazi au kusimamishwa...
Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga anatoa maoni yake kuhusu Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura:
Wapo wanaoamini Kadi ya Kupiga Kura sio muhimu kwao na...
Zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa daftari la Mpiga kura inaweza kuwa mojawapo ya changamoto inayokatisha watu tamaa ya Kwenda kupiga kura.
Baada ya miaka 10 mingine we are not expecting...
Kanda ya ziwa ni construction site. Kote panajengwa au pana majengo mapya, miradi mipya.
Nashauri wasaidizi wa Rais wawe makini, tunajua Rais anapenda sana aende katika kila mradi. Akifanya hivyo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuhutubia hafla ya uapisho...
Wakili Onesmo Olengurumwa (Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania - THRDC) anasema:
Hamasa ya Undikishaji imekuwa ndogo kwa kuwa utaratibu wa kuhusisha Wadau umekuwa mdogo...
Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye ni Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ametoa neno kuhusu mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura unaoendelea Dar es Salaam:
Ulazima na...
Rais Samia Suluhu awasili nchini Korea Kusini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Yoon Suk Yeol. Ikumbukwe kuwa Korea ni moja ya washirika wakubwa wa maendeleo tangu tarehe 30...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Korea Mei 31 hadi Juni 6 mwaka huu kwa mwaliko wa Mheshimiwa Rais wa Korea, Yoon Suk Yeol, ziara ambayo ni hatua...
Rais ametangaza kuwa nchi yetu kwa kushirikiana na majirani zetu tunaenda kupitia upya mipaka yetu ya majini na nchi kavu. Hili jambo siyo dogo, ni zito sana na lina potential ya kusababisha...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Wa Dar Es Salaam Ally Bananga akijibu kuhusu kuzuiliwa kwa maandamano ya mara kadhaa hasa ya vyama vya upinzania, ameeleza kuwa mara nyingi...
Chama cha ACT Wazalendo tunalaani vikali vitendo vya kinyama vya mauaji, uharibifu wa mali, ukiukwaji wa binadamu katika operesheni za kuwaondoa wananchi kwa nguvu kwenye ardhi zao nchini...
Wito umetolewa kwa wahitimu haswa kozi za BA Sociology, Archaeology & Political Science wakimbilieVETA kujifunza mapishi kwa ajili ya wageni wa AFCON 2027.
GHARAMA zote zitalipwa na Madiwani
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira amevitaka vyama vya upinzani kuacha kuwa na visingizio katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi badala yake wakubali...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi...
Nimeangalia kihoja cha mwaka huu wa uchaguzi 2025. Huyu luhanga mpina anatafuta huruma kwa nguvu sana mana kashaona ngoma ni ngumu sana kutoboa licha ya kukinzana na viongozi wenzake huko ccm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.