Mkurugenzi mpya wa CRDB, Abdulmajid Nsekela atinga Ikulu...

Mkurugenzi mpya wa CRDB, Abdulmajid Nsekela atinga Ikulu...

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, leo amekutana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ofisini kwake, Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya kujitambulisha kwake toka aingie rasmi kazini hivi karibuni.

Nsekela ameingia rasmi kuiongoza CRDB baada ya Dkt. Charles Kimei "kumaliza" muda wake.
NSEKELA.jpg
 
Huyu vp ana phd au kaishia certificate? ???

Swali zuri mkuu..

Ni hivi;

Nsekela ana Shahda ya Umahiri katika Uongozi wa Biashara (International Banking and Finance-MBA-IBF), Post Graduate Diploma ya Uongozi wa Biashara (PGDBA) kutoka Chuo Kikuu cha Birmingham nchini Uingereza. Pia amesoma Advance Diploma in Banking kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM).

Pia ana Post Graduate Diploma katika Uongozi wa Biashara (PGDBA) -Uongozi wa Biashara, Menejimenti na Uratibu kutoka Chuo Kikuu cha Birmingham, National Store Keeping Certificate (NBMM) kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM).

Nafahamu hivyo..
 
Mbona kama huyo jamaa ana elimu ya hapa na pale a.k.a unga unga mwana?
 
CRDB na Ikulu wapi na wapi? Serikali inataka ikamate mirija ya pesa yote? Kweli awamu 4 zilizotangulia tisa hii ni KUMI
mkuu mikopo kwa serikali na kupenda kuziingilia hizi bank

wakati walishaamishia BOT pesa zao

sasa utajiuliza kwanini wanang"ang"ania?

unaua private sector halafu unataka ikusaidie ..
 
Back
Top Bottom