Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na familia ya aliyekuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Bi. Mary Sulle, alipofika...
0 Reactions
1 Replies
358 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu, Msemaji wa Mbezi Beach nilienda kujiandikisha jana na hizo ndio changamoto na kasoro nilizoziona kwenye zoezi hilo; 1. Hakuna utaratibu maalum wa kuwapokea wananchi na kuwaelekeza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye ni Mtia nia nafasi ya Urais katika Uchaguzi wa Oktoba mwaka huu Dorothy Semu anasema kuwa wao hawakubaliani na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Wananchi wa vijiji vya wilaya ya Tunduru vilivyopo mkoani Ruvuma wamewasilisha kilio chao kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoani humo Ndugu Oddo Mwisho baada ya mifugo ikiwemo Ng'ombe...
1 Reactions
4 Replies
390 Views
Kauli mbiu ya sherehe za sikukuu ya wafanyakazi ya Mei Mosi itakayofanyika kitaifa Singida inasema "Uchaguzi mkuu wa Mwaka huu utupatia viongozi wanaojali haki na Maslahi ya wafanyakazi...
0 Reactions
9 Replies
632 Views
“Nape yalimtoka yaliyokuwa moyoni akizungumza kwamba kushinda inategemea nani anayetangaza yule ni kijana wa kwenye chama kile kwa muda mwingi sana kwa hiyo kwa vyovyote ni vyema tukamsikiliza...
0 Reactions
5 Replies
606 Views
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya...
0 Reactions
3 Replies
557 Views
Hivi hawa ma-DC huwa hawapewi mafunzo/maadili kabla ya hizi teuzi? Show off Hizi zitawaponza. Mambo yako binafsi/familia unayaletaje Kwenye ofisi za Umma?
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya WAJIBU, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh amezungumzia umuhimu wa Wananchi kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura...
0 Reactions
2 Replies
548 Views
Wanabodi. Kila siku najiuliza sipati jibu sahihi kuhusu wasomi wetu wa Tanzania.. Kwa mujibu wa data za World Bank na IMF Tanzania ipo kwenye kundi la nchi 20 maskini wa kutupwa duniani. Baadhi...
1 Reactions
804 Replies
91K Views
Kwako WAZIRI wa ARDHI, ndugu Jerry Slaa Mwaka Jana 2023, miezi ya kukaribia mwisho wa mwaka yalitoka matangazo katika wilaya ya Kigamboni, kuhusu mradi wa viwanja maeneo ya Pemba mnazi. Masikini...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Hii naongea ili kutoa alert kwa viongozi wote wa serikali na watumishi wa umma. Unamtukana mtu na unampatia huduma mbovu kumbe anakurecord na mwishowe unaishia kufukuzwa Kazi au kusimamishwa...
3 Reactions
16 Replies
866 Views
Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga anatoa maoni yake kuhusu Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura: Wapo wanaoamini Kadi ya Kupiga Kura sio muhimu kwao na...
0 Reactions
4 Replies
401 Views
Zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa daftari la Mpiga kura inaweza kuwa mojawapo ya changamoto inayokatisha watu tamaa ya Kwenda kupiga kura. Baada ya miaka 10 mingine we are not expecting...
0 Reactions
5 Replies
421 Views
Kanda ya ziwa ni construction site. Kote panajengwa au pana majengo mapya, miradi mipya. Nashauri wasaidizi wa Rais wawe makini, tunajua Rais anapenda sana aende katika kila mradi. Akifanya hivyo...
0 Reactions
1 Replies
294 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo...
0 Reactions
2 Replies
426 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuhutubia hafla ya uapisho...
0 Reactions
0 Replies
320 Views
Wakili Onesmo Olengurumwa (Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania - THRDC) anasema: Hamasa ya Undikishaji imekuwa ndogo kwa kuwa utaratibu wa kuhusisha Wadau umekuwa mdogo...
1 Reactions
0 Replies
510 Views
Back
Top Bottom