Kutokana na uwepo wa taarifa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kulikosababishwa na kukataa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Mwenyekiti wa UVCCM...
Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu?
======
37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi...
Nimesoma kule Al jazira kwamba Chadema imepoteza sifa za kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025
Hii ni fursa kwa wanachadema wenye taranta za uongozi kuhamia ccm na kugombea ubunge na udiwani
Nawatakia...
Kambona alikuwa anaitwa mhaini.
Halafu Kambona aliondoka nchini.
Kambona alikuwa ameshinda bahati nasibu ya kimataifa, akapata hela nyingi akaamua kuondoka Tanzania.
Halafu akafika Nairobi.
Jomo...
UJASIRI WA UFISADI
Mkataba kati ya TANESCO na Richmond Development wa tarehe 23 Juni, 2006 wa kuingiza majenereta ya umeme kufuatia upungufu wa nishati hiyo uliokuwa umekithiri nchini mwaka 2006...
Endapo habari za vifo vya watu karibu ishirini kwenye ukumbi wa NSSF zitakuwa ndivyo zilivyo mtu wa kwanza kuwajibika itabidi awe Mkurugenzi wa NSSF Dr. Ramadhani Dau.
Uchambuzi wa Kikatiba chini ya Ibara ya 74(11) na (12) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977
Utangulizi
Demokrasia ya kweli hujengwa juu ya misingi ya kuheshimu Katiba, taasisi, na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Uturuki.
Katika ziara hiyo ameshiriki Mkutano wa 4 wa Diplomasia wa...
Ifanye hivyo ili iwe fundisho kwa watumishi wa umma wenye tamaa na kila nafasi ya utumishi na wasioridhika kuwatumikia wananchi kwenye nafasi wanazotumikia kwa sasa.
Majuzi, jaji mkuu alitoa...
EIB KUONGEZA UFADHILI KWA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI TANZANIA
• Yatangaza ufadhili mpya kwa miradi mitano nchini.
Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank – EIB) imeahidi kuongeza...
Wakuu,
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili utafanyika sambamba na uwekaji wazi wa Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia tarehe 01 Mei, 2025 na kukamilika tarehe 04...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Simiyu, Mussa Onesmo anadaiwa kukamatwa na Askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ambako...
Mbunge wa Jimbo la Mvumi (CCM) Livingstone Lusinde (Kibajaji) amekosoa mfumo unaotumika kutoa ajira nchini kwa madai mfumo huo umekuwa hauwatendei haki Watanzania na unachangia kuleta mawazo kwa...
Wana CCM tuna ile kitu wakati mwingine tunaita mob psychology.
Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe.
Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana...
Asalaam Aleykum wana JF,
Ama baada ya salamu hizo, niingie kwenye hoja.
Mara nyingi na kwenye jamii nyingi, matajiri na watawala huogopa mabadiliko kwa sababu yanatishia maslahi yao tofauti na...
Katika mwendelezo wa kampeni ya No reform no election kwa siku ya jana nilimsikiliza Mh Heche kwa dk20 nimeona ongea yake inatofauti na kabla Mh Lissu hajakamatwa.
Jana amezungumza akionesha...