Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

*JOKATE NI NGUVU MPYA YA USHINDI WA CCM 2025 * Kalamu ya: Mrisho H. Kamba – Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wazazi CCM Taifa Ndugu Jokate Urban Mwegelo, Salamu nyingi za pongezi na heshima nyingi...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Labda wawe wamefuta kwa vile wao ndiyo custodians wa mitandao nchini. Ila Bodi na Menejimenti ya TCRA ilimpongeza Waziri wao wa Zamani Nape Nauye baada ya kutumbuliwa juzi sambamba na TTCL, UCSAF...
19 Reactions
121 Replies
8K Views
....
3 Reactions
8 Replies
506 Views
Tanzania tunaamini kuna taasisi mbalimbali zinazosajiri Taasisi kulingana na malengo. Mfano Brella inasajiir makampuni. Wizara ya Mambo ya Ndani inasajiri Taasisi mbalimbali zikiwepo za dini, na...
1 Reactions
3 Replies
430 Views
Kuna kampuni imeanzishwa au kupewa tender inayokwamisha biashara nchini kwa kigezo cha wrong parking Kampuni hii imekuwa chanzo cha wageni kugoma kutumia bandari yetu au kupeleka image mbaya nje...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
"Demokrasia ndio inayowafanya mrudi mzungumze na katika kuzungumza mnapata jambo moja. CHADEMA ni taasisi ambayo inaongozwa na instrument's mbalimbali, lakini instrument namba moja inayoongoza ni...
0 Reactions
9 Replies
531 Views
"Haiwezekani kuna wenzetu hawajapata haki ya kuandikishwa kuwa wapiga kura Zanzibar, kisha sisi tutoke kwenda kushiriki kwenye uchaguzi kirahisi hili haliwezekani na lazima tupambane nalo" Othman...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Katibu wa BAWACHA Mkoa wa Songwe Pendo Willium ameungana na Mkoa juu ya kauli mbiu ya "No Reforms No Election" katika kuhakikisha uchaguzi mkuu Octoba 2025 haufanyiki, kwani chaguzi mbalimbali...
1 Reactions
1 Replies
347 Views
Wanawake tytaandamana kudai haki, na tunaiomba serikali isipuuze hii kampeni ya No Reform No Election, kwani wanachi wamechoka kunyimwa haki haki yao na wataipata kupitia Chadema"- Mwenyekiti wa...
1 Reactions
1 Replies
303 Views
Sababu nyingine kwanini no reforms, no election Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 mimi nilikuwa mratibu kampeni (campaign manager) kampeni za mgombea ubunge (CHADEMA) Bunda Mjini, Esther Amos Bulaya...
3 Reactions
7 Replies
700 Views
Ninafuatilia hotuba za John Heche, ni kama alikaa mahali akajifungia, akaanza kukariri/kumeza hoja zake. Kila mahali maneno Yale Yale.... Mifano ile ile. Kwa kiongozi inamjengea hali ya kuchosha...
1 Reactions
39 Replies
1K Views
Chadema wanapitishia fedha zao katika Mpesa, airtel money, na huduma za aina hiyo, pamoja na za mabenki. Nitoe angalizo kwa serikali na makampuni hayo kwamba miamala hiyo imeshasemwa na uongozi...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Wakati Tonetone ya kidijitali ikizidi kuchanja Mbuga ,,, ni vema Matangazo ya Chama kuwaalika Watanzania mikutanoni yaendelee kuwakumbusha kubeba "Chochote Kwa ajili ya Chama". Pesa za Kwa...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Na Veronica France 🇹🇿 🇹🇿 Well, Dunia imebadilika sana, Dunia ya Leo Ktk Siasa lazima uwe na nguvu ya kudhibiti na kuendesha mitandao ya kijamii...huu Ni Wakati ambao tunaishihudia CCM ikiwa hoi...
16 Reactions
66 Replies
3K Views
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Naam. Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha. === Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema; "G-55...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii. Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya...
10 Reactions
80 Replies
3K Views
Kwa mtazamo wangu, hiki ndio kitakwenda kutokea ili kutisha wananchi wasiandamane kwa lengo la kuzuia/kukwamisha uchaguzi. Hii ndio itakuwa Pan B yao iwapo mipango mingine yote ya kuhujumu...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Watu ambao mpo karibu na Prof Jay jaribu kumuongoza Vyema huyu Kijana . Maana watu hasa wapinzani walijitoa Sana kwako. Unaposema utaingia katika uchaguzi bila reform je umetazama mbele na...
17 Reactions
49 Replies
2K Views
Ni kweli No Reform No Election inatakiwa kutekelezwa na Mamlaka LAKINI siyo kwa mwaka huu wa Uchaguzi. CHADEMA ijipange baada ya uchaguzi wa mwaka huu kwa No Reform No Election mpaka mabadiliko...
0 Reactions
4 Replies
431 Views
Back
Top Bottom