Vifo Tabora: Uongozi wa NSSF Makao Makuu Uwajibike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vifo Tabora: Uongozi wa NSSF Makao Makuu Uwajibike

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 2, 2008.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 2, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Endapo habari za vifo vya watu karibu ishirini kwenye ukumbi wa NSSF zitakuwa ndivyo zilivyo mtu wa kwanza kuwajibika itabidi awe Mkurugenzi wa NSSF Dr. Ramadhani Dau.
   
  Last edited by a moderator: Oct 4, 2008
 2. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  hehehehe our tagert has been always discussing people... sasa hata haijajulikana tatizo ni wapi... anaambiwa mtu awajibike tayari...

  Mabadiliko haya yafikira naona kama ya kijima vile....
   
 3. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #3
  Oct 2, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280

  mwanakijiji tuhuma za vifo ni nzito..hao watu wamekufa wapi ...?...ilikuwaje?
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Oct 2, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  we acha tu......lol
   
 5. Haki.tupu

  Haki.tupu JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2008
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkjj,

  Yes, logic inasema hivyo lakini kwa utamaduni wetu wa kuwajibika hapa tutakuwa tunampigia mbuzi gitaa! Huyu jamaa na mikashfa yote aliyonayo (e.g. dili na Yusuf Manji, Dr. Masau saga, udini nk) kweli hili litakuwa kubwa kwake! This one (despite involving direct deaths) looks a bit remote to implicate him. They will start witch hunting amongst the engineers and property managers of the bulding in question! Pia kwa nini Dau na si Kapuya (waziri) kabisa wakujiuzuru?
   
 6. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  kwi kwi kwi... may be president, au AU chairman au UN secretary General... may be Ba-kin Moon... yaani kujiuzulu nduio soluhisho ya matatizo yenu....

  Wabongo bwana... mambo hayafanyiwa uchunguzi wowote... tayari hukumu zimetoka kibao...

  "Nchi ya kitu kidogoo... nchi ya watu wadogooo..... )
   
 7. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mimi mbona mnaniacha kizani kwani sijui kimetokea nini hebu tupeni habari za kutosha kwanza kabla ya kutulipua na conclusio tusizozijua zimetoka wapi.
   
 8. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nimerudi baada ya kupata jibu.

  hatuwezi kusema kumwajibisha mkurugenzi wa kampuni yenye jengo kwani kuna vitu ambavyo yeye hausiki hata kidogo.

  inawezekana yeye hajui kama kulikuwa na disko kwenye ukumbi wa jengo lake, inawekana pia disko halikuandaliwa na NSSF, hivyo hawawajibiki moja kwa moja na watu walioingia isipokuwa yule aliyekodisha ndo anatakiwa kuangalia idadi ya watu na ukubwa wa ukumbi.

  binafsi sioni direct link ya watu kufa kwenye ukumbi na mkurugezi wa NSSF unless kuna taharifa zaidi za kumuunganisha na vifo hivyo.
   
 9. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2008
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu heshima mbele, hizi habari naomba uwe na uhakika nazo mkuu kabla ya kumshutumu huyu Bwana.
   
 10. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  mimi nina ombI moja TU kwa ADMIN na MODS

  Tafadhalini msiiondoe hii thread wala kuibadilisha heading kwa sababu its quite obvious kuwa huyu mwanzilishi wa hii thread anazo data na hoja nzito za kutosheleza kujitetea...japo mimi najua kuwa Mwana kijiji has got some scores to settle tangu ile issue ya NSSF vs DR MASAU

  so this should be an interesting one...kaeni mkao wa kula wana JF!
   
 11. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Mkulu MMJ,

  Duh! hapo mimi simo kabisaa ngoja tusubiri!
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Bora wewe ushaamua kujiondoa mapema maana hii thread itakuwa nzuri sana na this time sidhani kama kutakuwa na kunyanyua bendera nyeupe
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Oct 2, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  naona watu wanatishana hapa; mtu akiwa na utulivu anaweza akasoma nilichoandika kabla ya kukurupuka kusema nimesema nisichosema. I stand on my original statement.
   
 14. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Ohh really? isnt it ironic kwa our in house journalist kama wewe kurukia kutoa statements bila ya kuwa na taarifa kamili ya tukio? whatever hapenned to objectivity za KLH NEWS? Kuna watu wanakutegemea kuwa utakuwa responsibleand objective kwenye analysis zako and of course you are supposed to refrain from personal biases or prejudices lakini naona hilo halipo na umeamua kulitupa dirishani

  Halafu you want us tyo take you serious na jarida lako la Cheche
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Oct 2, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  It is not about me GT, I have never claimed to be what people say I should be, I'm just a blogger and citizen journalist. I really don't care (you should have figured that out by now) what people think about me au jinsi wanavyonitaka niwe.

  It is about the little souls that perished overnight in Tabora. It is about them; you can say anything about me (which won't bother me) but in this one kuna watu watawajibishwa na wa kwanza atakuwa Dr. Dau. I'm making my case and believe me, I'm writing from the reservoir of pain and anguish.

  Siyo kuhusu Masau. I wrote THIS ARTICLE. Isome na utaelewa where I'm coming from. GT, this is not about me, it is not about you, it is not about THI/NSSF saga, and definitely it is not about Dr. Dau so don't take it personal. It is about them; it is about those kids who perished in NSSF building. If you don't get that part, I can't help you mate, you take it anyway you like. I'm done.
   
 16. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni nani alikuwa in charge wa hili jengo siku ya tukio? Mpangaji, NSSF wenyewe, mkodishwa ukumbi, au nani ?
   
 17. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #17
  Oct 2, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  sidhani kama inajalisha sana kuna kitu kinaitwa enterprise liability... jinsi jengo lilivyojengwa na kusimamia inamuangukia mmiliki; jinsi ukumbi ulivyokuwa unaendeshwa inamuangikia mpangaji na mmiliki. Kamanda Mmari wa Tabora yuko Moshi hivi sasa na vyanzo vya uhakika kutoka Tabora vinadokeza mambo mengi. Mtashangaa yatakayotoka huko, na ikibidi hadi Waziri itabidi ang'oke. It is sad.
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  Oct 2, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mteteeni mpendavyo; vifo hivi vya watoto hawa vitasikika kilio chake.
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  hehehehe our tagert has been always discussing people... sasa hata haijajulikana tatizo ni wapi... anaambiwa mtu awajibike tayari...

  Mabadiliko haya yafikira naona kama ya kijima vile....


  Endapo habari za vifo vya watu karibu ishirini kwenye ukumbi wa NSSF zitakuwa ndivyo zilivyo mtu wa kwanza kuwajibika itabidi awe Mkurugenzi wa NSSF Dr. Ramadhani Dau.

  TUSOME NA KUELEWA KABLA YA KUHUKUMU
  1)))ELEWA MAANA YA ENDAPO

  2))ZITAKUWA NDIVYO ZILIVYO

  POLEN WAFIWA KAMA NDIVYO ZILIVYO......
   
 20. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Inawezekana inajalisha. Hiyo legal doctrine uliyotaja inategemea na jurisdiction vile vile, sheria za Tanzania specifically. Na hiyo doctrine inahusiana na kesi za madai, tort law. Hapa inawezekana sheria inayohusika ni ya land law, kwa sababu inahusisha upangaji, iwapo alikuwa kapangishwa/kakodishwa mtu. Na ni nini walikubaliana kwenye lease agreement, mambo ya contracts yana kick in. Kwa hiyo nadhani ni muhimu kutokulichukulia hili swala kijumla jumla na kuhukumu bila kuwa na details.

  Halafu kingine, nadhani tunapoongelea kuwajibika kwa viongozi huwa hatuangalii dotrines za kisheria, bali uzembe wa utendaji kazi ambao Juma na Roza wanaweza kuuona bila doctrines za sheria. Hususan sheria za tort law, kama uliyoitaja. Labda ungeleta legal theory ya makosa ya jinai. Hiyo uliyoitaja inawezekana haihusiki hapa kabisa, wala theory nyingine zozote za mahakamani.

  Kwa hiyo nadhani bado kuna umuhimu wa kujua : Je, siku ya maafa ni nani alikuwa in charge wa jengo, mkodishwa ukumbi, NSSF wenyewe, mpangaji au nani ?
   
Loading...