Hali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leadership character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama...
Katibu Uhamasishaji wa UVCCM Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, Akida Mnyamisi Akida akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha redio cha Nuru FM.
“Wapinzani wa Tanzania tunaishi kama watoto yatima ni watu ambao tunapata mateso sana kwenye hii Nchi lakini haya yote yataisha siku tukipata katiba mpya” Shabani Itutu
Kupata matukio na taarifa...
Wakuu,
Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Musoma mjini kimemtaka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 kwa kupinga kampeni ya ‘No Reforms, No Election’ na kuidhalilisha kampeni ya tonetone, la...
Tumeona wanafunzi wasio na sifa wakilazimishwa kujiandikisha ili wapige kura.na Watoto wetu wanakuja kutuambia ili hali sisi wazazi tunajua kabisa hawana sifa.
Pengine CCM na ndio mpango wao wa...
Kama mlikuwa manjua Tanzania kuna upinzani basi mlikuwa mnajidanganya Sana
Mrema
Mbowe
Lipumba
Maalim Seif
These guys, walikuwa double Agent so kuweni makini vijana sasa tunaelekea katika...
Balozi Juma Mwapachu, ambaye amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, amefariki dunia leo Machi 28, 2025 katika hospitali ya Muhimbili...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasihi Mabalozi kuwaunganisha Watanzania wanaoishi katika nchi wanazowakilisha...
"Mwenendo wa viashiria vya uchumi na bajeti katika mwaka 2024/2025 umeendelea kuwa wa kuridhisha. Katika mwaka 2024, Pato halisi la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 5.5 ikilinganishwa na...
Kutokana na mapungufu ya kikatiba yaliyopelekea kuwa na tume ya uchaguzi isiyohuru kiutendaji, nimependekeza muundo wa tume unaoweza kutibu majeraha. Tunajua kwa sasa tume iliyopo @TumeUchaguziTZ...
Kamishna wa Intelijensia ya Jinai kutoka Makao Makuu ya Polisi CP Charles Mkumbo, wakati akiwasilisha mada kwenye kikao kazi cha 20 cha maafisa habari wa Serikali kilichofanyika Zanzibar Aprili 3...
Serikali ya Tanzania imewaonya watu waliojipanga kuleta fujo, kujihusisha na rushwa ama kuleta sitofahamu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kuwa ipo macho na haitatoa mwanya wa kufanyika hila...
Huko Congo drc team Moja za ligi kuu ziliokuwa ziki itwa dcmp ime badilisha jina na kuitwa FC magufuli, kumbe jembe kakanya kazi ngumu sana, basi kapumzike kwa Amani sana
USSR
Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM Taifa
Jokate Mwegelo @jokatemwegelo ...
Kamanda wa Polisi, anasema kwamba dereva alitoroka ama kutoroshwa na kwamba polisi hawajui yuko wapi na wanamtafuta??? Nadhani kesho watasema "wamempata" akiwa hajachubuka hata 'nywele'.... Je...
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No...
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo Othman Masoud Othman, amesema Chama hicho hakitakubali aina yoyote ya hujuma zitakazosababisha kutangazwa kwa watu wasiochaguliwa kwa Kura za Wananchi kuwa...
Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020.
Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku...
Oscar Oscar una Intelligence duni na huna maturity kwenye Political Science. It is better to shut up kuficha Ujinga.
Big Up Edo, huwa napenda kukusikiliza na most of the time upo kwenye Present...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, ameeleza kuwa mchakato wa uandikishaji wapigakura wapya visiwani Zanzibar unakabiliwa na changamoto kubwa, hasa kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.