1. Watanzania tunayo imani na Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli kwa sababu ya kasi yake ya kupambana na rushwa,madawa ya kulevya,watumishi hewa,Ukusanyaji wa kodi,Maendeleo ya kilimo,ulinzi...
RC CHALAMILA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI JIMBO LA KIBAMBA UBUNGO.
-Amshukuru Rais Dkt Samia kwa kutoa pesa nyingi zinazowezesha utekelezaji wa miradi hiyo
-Ataka usimamizi mzuri wa...
Ni miaka imepita , Kama Taifa tumekwama maeneo yote muhimu Kama kuwa na
👇🏾
-Afya bora
-Elimu bora
-Ajira kwa vijana
-Miundombinu bora
Kinachotokea tunaenda hatua tano mbele na kurudi hatua...
Mimi mganguzi sina chama cha siasa bali naheshimu sana maoni ya watu !G55 sio wahalifu na hawavunji katiba yoyote isipokuwa wamefuata Sheria ! Badala ya kujibiwa hoja zao wanatukanwa na badala ya...
NO REFORMS NO ELECTION Si Siasa, Ni Falsafa ya Uasi Halali – Hii Ndio Siri Watawala Hawataki Uijue!"
Na
Maleko GJ
Watanzania wanaamka. Kauli ya ‘No Reforms No Election’ ya CHADEMA siyo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba pamoja na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kukamatwa na Polisi wanaotumikishwa, Ratiba ya Mikutano ya Chama hicho Kanda ya Kusini itaendelea kama ilivyopangwa...
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/askari-polisi-matatani-akidaiwa-kumvunja-mguu-mtuhumiwa-kituoni-4726664
Omari Mahita amvunja mguu mtuhumiwa na kumbambikia kesi ya wizi wa kutumia silaha
MNEC wa CCM Taifa, Ndugu Joseph Peneza, amechangia milioni 2.5 kusaidia ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nanyumbu. Akiwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Jumuiya hiyo...
Kuna MTU anatengenezewa Kwa bahati mbaya anaingia Kichwa Kichwa , makosa yale yale yaliyomuondoa yeye ndo na yeye anayarudia.
LISSU anajibiwa Kwa HOJA, Madai yake ni ya Wanachi wote, tangu Enzi...
Hellow!
Kuna mfumo usioonekana unazidi kuleta mtikisiko mkubwa unaoibua hisia za mabadiliko ya kimfumo mwaka huu,
Narudia kusema, CCM imekosea sana kutaka kufanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa ni...
Za chini ya kapeti ni kwamba mtu anayetiliwa mashaka na kuangaliwa kwa jicho baya ni Mnyika kwa sababu alikuwa na cheo hicho wakati wa More, anahisiwa kuuza siri
Mangi amefanikisha kumlisha...
Watuhumiwa watano akiwamo katibu wa Mbunge wa jimbo la Kilolo Kefa Walles, Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi kupitia CCM wilaya ya Kilolo Hedikosi Kimwaga, Diwani kata ya Nyanzwa Boniface Ugwale...
Haya maeneo ambayo Chadema inapita kwenye Kanda ya Kusini ikiwemo Mbamba Bay, yalijaa watu walioamini kwamba CCM ni dini, na kwamba ukiondoka ccm utahukumiwa na Mungu siku ya kiama.
Kazi...
Ukumbusho wako wa kirafiki kwamba kumekuwa na ushirika kila wakati. Tangu zamani mpaka sasa... Duniani kote.. Kuwa mshirika... Jiunge na mtandao Jenga jumuiya yq wazalendo wa Tanganyika Kuza...
Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete leo amekuwa miongoni mwa wabunge wabunge la Tanzania walioshiriki zoezi la uoshaji magari ya watu mbalimbali kwa lengo la kupata fedha...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche leo Aprili 8, 2025, amelazimika kufanya mkutano wake nyumbani kwa Mwenyekiti wa...
Waliosema muda ni mwalimu mzuri wala hawakukosea, wakati wa mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Chadema sikutaka Lisu ashinde niliunga mkono Mbowe atosha.
Lakini kama unavyojuwa muda sasa unaongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.