Hoja zake hazijibiki linapokuja swala la kushika dola!!ni kazi kweli kweli!!View attachment 3303931
Jibuni HOJA za Lissu.
😂😂😂 Lakini Baba akiangalia tu..watu wanaomba msamaha...hatuhitaji hata kuongea.Ila kumbe vitisho vya mwanamke huwa havitishi, ndo maana hata mie nikitia mkwara kwa madogo hamna anaerespond.
Kabisa😂😂😂 Lakini Baba akiangalia tu..watu wanaomba msamaha...hatuhitaji hata kuongea.
Mwalimu alikuwa mwongeaji tu. Enzi zake waliotaka kumkosoa walikiona cha moto.
Hautishwi. UNAKUMBUSHWA
Tunajua anamsema Lissu - kwa namna ambayo tunaona her true colours sasa. Nyekundu kama damu.No Reforms No Election [emoji91]
Hii ni nchi yetu sote tusitishane!
Ulikuwa ni mfumo wa Chama kimoja sasa utakosoa nini?!Mwalimu alikuwa mwongeaji tu. Enzi zake waliotaka kumkosoa walikiona cha moto.
💯💐💐💐💐Samia: Katiba ni kitabu tu!
SAMIA MUST GO!
Unaweza ukadhani ni muimba nyimbo za pwani kumbe ni raisi wa inchi fulani