Shaha Nurdin Mussa, mkazi wa Kitongoji cha Mkuti B, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, ameeleza kwa msisitizo kuwa wananchi wa Masasi wameshikilia msimamo thabiti wa kushiriki kikamilifu katika...
Jinsi ya Kusitisha Uchaguzi Usiofuata Sheria na Kuhakikisha Mshindi Halali Anatangazwa:
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibara ya 21(1), inasema Hapa...
Mimi nimekubali kushiriki maandamano ya CHADEMA siku ya uchaguzi lakini ni vizuri watoto wa Lissu, Lema, Slaa, Heche na Maria Sarungi wawepo kama alivyofanya Mbowe. Siyo wao wako ughaibuni...
Aliyekuwa Katibu wa Vijana wa Vyuo vikuu Mtandao wa Wanafunzi (CHASO) wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mwenezi wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Jimbo la Ukonga Ndugu Eliah Mlewa Rasmi amehamia Chama Cha...
Maneno mazito ya Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA Taifa, Deogratius Mahinyila, wilayani Tunduru kulaani tukio la kunyimwa uwanja wa kufanya mkutano Makamu Mwenyekiti wa John Heche.
Amesema...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema anashangazwa na namna ambavyo Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amekuwa akijibu wanachama...
BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?
Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu...
Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document)
Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema Serikali imejipanga kikamilifu kupambana na kudhibiti rushwa katika kipindi hiki cha...
Ndio CHADEMA,ACT Wazalendo na wadau wengine wa maendeleo ya kweli ya Watanzania wanafanya harakati za makusudi kabisa za kuiondoa CCM madarakani.Ni sawa,na halali kabisa hasa ukizingatia jinsi CCM...
Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone?
ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo?
au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya...
Utangulizi.
Katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini Tanzania, ambapo vyombo vya dola hutumika kudhibiti maandamano, vyombo vya habari vinakandamizwa, na wanasiasa wa upinzani hukumbwa na...
Wakuu hali si.......hali!!
Kutokana vuta nikuvute iliyopo katika CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwa sasa ni zao la uchaguzi mkuu uliofanyika hikaribuni ndani ya CHADEMA na Antipas Tundu Lisu...
Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM.
Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama...
Watanzania wote kesho macho na masikio yao yatakuwa kwenye kipindi cha supa breakfast.
Kumsikiliza Kamanda Lembrus Mchome yule yule mvunja nazi kwa ugoko.
Ataendelea kueneza elimu ya demokrasia...
Kuna watu hapa Machawa wanamdanganya huyu Raisi Samia. Raisi Samia kukitokea umwagaji damu hapa wakulaumiwa sio machawa maana watajikausha, Mchimbi ndiyo kabisa ataona nafasi yake ya kung’ara...
Kafulila mbunge wa Kigoma Kusini
Naye mbunge machachari wa Kigoma Kusini (NCCR), David Kafulila, ambaye yuko kwenye mzozo na chama chake kilichomfukuza uanachama, alisema kinachosumbua kwa sasa...
Katibu Mkuu wa chama cha National League for Democracy (NLD), Hassan Doyo amechukua fomu ndani ya chama hicho kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania urais wa Tanzania, huku akieleza sababu ya kutaka...
Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya Nyasa, amesema kuwa kampeni ya No Reform No Election ni kauli iliyokuwepo tangu siku nyingi hata kabla ya Mwenyekiti Lissu kuingia madarakani, na amelitaka kundi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.