Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu Sasa Ndio Uislam, sio ule Uhuni wa Kutangaza Amani Amani huku HAKI imefichwa. Ni sawa tule twanafunzi, Kila kukicha "Mama asamewe" alafu tunashindwa hata kukaa na kujadili Report ya CAG...
34 Reactions
115 Replies
7K Views
Alipinga hadharani tena kwa msisitizo sana kila kitu kilichoamuliwa na ungozi wa kabla yake, na akawafundisha wanachadema wengi tabia hiyo mbaya aliyoiita haki na uhuru. Tena ilifikia mahali...
5 Reactions
79 Replies
3K Views
Wakuu heshima sana na huu mjadala ni very educative, kuna mengi sana hapa yamesemwa ambayo ni valid na hayakwepeki, ni muhimu sana hii debate ikapanuliwa katika sekta nyingi za serikali yetu...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Nazani kutokana na histori ya chaguzi zetu za huko nyumu,uamuzi unao mwenyewe, Tumeona uchaguzi wa 2020 Chadema wakipata Mbunge mmoja tu, Tanzania nzima,tumeona uchaguzi wa serikali za...
0 Reactions
7 Replies
413 Views
MASWALI NA HOJA ZA WADAU KUHUSU SUALA LA VITI MAALUMU TANZANIA Wakuu leo katika kupitia maandishi ya gazeti la mwananchi nimekutana na kichwa cha habari kisemacho Wabunge wa viti maalum ni feki...
2 Reactions
992 Replies
107K Views
Wanabodi, Leo nimepata fursa kuangalia sherehe za maadhimisho wa siku ya sheria zilizokuwa zikitangazwa live na TBC. Chama cha wanasheria ni mdau muhimu wa maadhimisho haya ambayo huhutubiwa na...
119 Reactions
380 Replies
29K Views
Genge la aliyekuwa mwenyekiti wa chama bwana Mbowe limeamua kujilipua. Limeamua kuukwamisha uongozi halali wa chama ili usifanye kazi yake. Litashindwa! Hii iwaonyeshe Watanzania kuwa Mbowe kwa...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Natazama hapa Waziri Mwigulu Nchemba akiwa na maongezi na Wafaransa, ati kujenga viwanda vya madawa. Kwanza, Kuna kiwanda cha madawa ya kukuua vidudu vya mbu Kibaha. Kiwanda hiki kimejengwa kwa...
1 Reactions
8 Replies
498 Views
Na Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) CHADEMA/UPINZANI, ACHENI KUIONEA CCM. 1. Taifa hili bila CCM imara, litayumba sana. Sina hakika kama bado. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji...
3 Reactions
11 Replies
864 Views
CCM tusije tukanasa kwenye mtego ambao Chadema wanauandaa.Wao wanataka wapiga kura wasijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi. Lakini wanataka kuhamasisha maandamano nchi nzima kama kampeni ya...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mhe. Marko Henry Ng'umbi, Mkuu wa Wilaya ya Longido. Pia soma: ~...
16 Reactions
286 Replies
15K Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe. Kuna uvumilivu wa hali ya juu na kuachia nafasi fulani ya democrasia ilo oneshwa na Rais wetu kwa vyama vya upinzani. Ni kama wakati ule wa Rais Jakaya...
0 Reactions
5 Replies
471 Views
Wajumbe wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Cchadema (BAVICHA) Mkoa wa Dodoma, leo tarehe 7 Aprili 2025, wamemchagua Joseph Mussa Mahindoni kuwa Mwenyekiti mpya wa baraza hilo...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Hellow! Tukiwa tunatafakari njia Bora kabisa za kuhakikisha tunapata Sanduku la kura lisilonajisiwa, tunapata maswali yafuatayo! 1. Mamlaka ya Rais ameyapata wapi kama SI kutoka kwenye Katiba ya...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Ni wazi kwamba mambo si shwari ndani ya Chadema. Hiyo ni kutokana na kuibuka kwa kundi la G55 linalohusisha makada wa chama hicho wakipinga kampeni ya No Reforms No Election inayoendelea. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu imeeleza kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) kinachojengwa katika Wilaya ya Busega kwa gharama ya Sh 1.48...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
SERIKALI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI MITANDAONI "Je, Serikali imejipangaje kuhakikisha ongezeko la vyombo vya habari mtandaoni haliathiri maadili na utamaduni wa Taifa letu" -...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Watanzania wote tumepigwa na butwaa hii tabia mbaya ya kidikteta inayoota mizizi kwenye chama cha Chadema. Baada ya kuwafunga midomo wanachama wa Chadema wasitoe maoni wala mawazo mbadala kwa...
11 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi. "Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Usiku wa Aprili 07,2025, Wananchi wa kijiji cha Msanga kata ya Mitesa, Jimbo la Lulindi Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, wameuzuia nsafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara John Heche, ambao...
2 Reactions
1 Replies
461 Views
Back
Top Bottom