Ajali ya boss wa TANESCO najiuliza haya

Ajali ya boss wa TANESCO najiuliza haya

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
11,109
Reaction score
17,433
Kwani mwendesha baiskeli haruhusiwi kuendesha usiku? Unauliza mwendesha baiskeli alikuwa anaenda wapi? Alikuwa na safari zake kama ilivyo kwa mkurugenzi.

Kama gari la mkurugenzi lilikuwa barabarani muda huo basi kuna uwezekano na watu wengine wakawepo barabarani.
 
Kwani mwendesha baiskeli haruhusiwi kuendesha usiku? Unauliza mwendesha baiskeli alikuwa anaenda wapi? Alikuwa na safari zake kama mkurugenzi.

Kama gari la mkurugenzi lilikuwa barabarani muda huo basi kuna uwezekano na watu wengine wakawepo barabarani.
Mhii. Kwa sa8 usiku watu wapo barabarani tena bunda?
 
Kwani mwendesha baiskeli haruhusiwi kuendesha usiku? Unauliza mwendesha baiskeli alikuwa anaenda wapi? Alikuwa na safari zake kama ilivyo kwa mkurugenzi.

Kama gari la mkurugenzi lilikuwa barabarani muda huo basi kuna uwezekano na watu wengine wakawepo barabarani.
Safi sana mkuu umejbu sahh kabsa kunywa soda ntalipa
 
Watu waliokuwemo kwenye roli wanaweza kutoa huo ushuhuda. Kuhusu mwendesha baiskeli ingekuwa mikoa pwani tungesema watu wa mikaa
 
Sakata la jaribio la mauwaji Kwa Tundu Lissu Dodoma kwenye makazi ya viongozi area D hakuna mtu hata mmoja amewahi kuhojiwa na jeshi la polisi na haijulikani kama uchunguzi bado unaendelea au umetamatika Serikali/bunge waligoma kugaramia matibabu yake.

Mh. Tundu Lissu yupo Mahabusu akikabiliwa na mashitaka ya uhaini kosa ambalo halina dhamana, iwapo atakutwa na hatia atanyongwa mpaka kufa. Wakati huo huo Taifa la Tanzania mwezi uliopita limeazimisha miaka minne ya KIFO cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli
 
Back
Top Bottom