Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,029
- 6,812
Kambona alikuwa anaitwa mhaini.
Halafu Kambona aliondoka nchini.
Kambona alikuwa ameshinda bahati nasibu ya kimataifa, akapata hela nyingi akaamua kuondoka Tanzania.
Halafu akafika Nairobi.
Jomo Kenyatta akampigia simu Mwalimu akamwambia tumemkata raia wako mmoja ana hela nyingi sana. Tufanye nini?"
Mwalimu akasema huyo mwacheni tu .
Kwa hiyo Kambona akaenda London.
Alivyokuwa London ndio alikuwa anafanya mambo ambayo hayakuipendeza serikali ya Tanzania.
I don't what happened next.
Lakini story niliyoipata( in the past half hour) ni kwamba walitumwa watu kwenda kumshuti Kambona instead wakakosea wakamshuti mtoto wake Kambona, mvulana ambaye alikuwa anafanana sana na Kambona.
It was a case of mistaken identity.
Hizi nadhani ni habari za MI5
No end to the bungling of our spies.