Hii slogan ni sawa na kisu kikali kinachotishia uhai wa washika mpini waliojisahau na kudhani wana haki miliki na Tanganyika..
Mwanzoni walidhani haitawezekana lakini sasa kisu hiki kimeanza...
https://youtu.be/mzQEeiy4TjE?si=fkKNag_Pg0wJdYU_
➡Kumbe Lissu ameshitakiwa kwa makosa matatu tu ambayo upelelezi wake umekamilika...
➡Kosa la "TREASON" ama "UHAINI" limewekwa "just by the way" tu...
Nadhani njia nzuri ni kujitafakari kwanini upinzani uungwe mkono kwa hiyari na huku CCM ikitumia Rushwa ,wasanii maarufu na watu maarufu, vitisho na mitutu ya bunduki kulazimisha kukubalika...
TUNDU LISU NI MSHINDI
Na, Robert Heriel
Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba za ibada...
Wakati wa utawala wa awamu ya 5 chini ya Dr Magufuli, viongozi wa serikali, wakiwemo Mawaziri na wafanyakazi wa serikali walilazimishwa kununua line ya simu ya TTCL kibabe, huku wengine wakipigwa...
CCM wanafahamu kwamba huo wito ukiitikiwa na wananchi, Idadi ya watakao jitokeza kupiga kura itakuwa ni sawa na zero, au Negligible kabisa, hivyo itawawaacha uchi kwa matokeo wanayopika kila siku...
Watu watajiuliza hii ninayoiita ‘Law of Pressure’ ni kitu gani?
Kisayansi, unapokutana na maada (Matter) mfano wa lijiwe likubwa na ukatakiwa uweze kulitawanyisha vipande vipande, huwa ni kazi...
Bendera ya Chadema ina rangi nyekundu, kila mtu anajua maana ya nyekundu ni nini, lakini pia ukisoma Katiba ya Chadema unaona kabisa kuwa kwa namna ilivyoandikwa inaashiria kuwa wao ni watu wa...
05 Aprili 2025
Judiciary Square
Dodoma, Tanzania
Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia
Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia...
Wanabodi,
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe katika bandiko hili Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samiahttps://youtu.be/Xjao83Ghy04?si=qSQTeSxIx_8B5a-L
Kiukweli kabisa mimi...
Nakumbuka mwaka 2019/2020 aliyekuwa Rais wa wakati ule, John Pombe Magufuli ambaye pia alikuwa mgombea urais wa mwaka 2020 kupitia chama cha CCM alinukuliwa akisema "Uchaguzi utakuwa huru na wa...
===
Akihojiwa na kituo Cha Utangazaji Cha Wasafi Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mkuu wa PPP nchini Mhe David Kafulila amesema nia ya Rais Samia ni kuona miradi yote yenye sura ya kibiashara...
Tarehe 12, April, 2025 Ofisi ya Msajili inataka vyama vyote vyenye nia ya kushiriki Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwenda kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, na kutosaini kanuni hizo kwa mujibu wa...
Dada yetu Halima Mdee
1. Hivi unajua ni kiasi gani umewadharau wananchi wa Kawe maelfu kwa maelfu ambao kura zao kwako hazikuheshimiwa isipokuwa tu uamuzi wa Ndugai mtu mmoja eti ndo ukakuingiza...
Tanzania utoto utoto mwingi Reform ni muhimu kwa nchi yetu sio vyama pekee. sheria nzuri za uchaguzi, mahakama huru na demokrasia ya kuchagua watu kutoka kwa wananchi ni kwa faida yako na kwa...
Naibu Katibu mkuu CHADEMA akizungumza na waandishi wa habari amewataka Watanzania wote kuungana kila mtu kwa imani yake kuomba kwa ajili ya Taifa kuanzia leo Aprili 11, 2025 hadi Aprili 24 2025...
Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia...
TANZANA – UKRAINE KUONGEZA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Ukraine zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii ikiwemo...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito wa kupatikana kwa Muafaka wa Kitaifa utakaoliwezesha taifa kuelekea kwenye uchaguzi kwa umoja, utulivu na mshikamano. Kwa...
Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi:
---
Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.