Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini Tanzania Mhe. Anthony Peter Mavunde ameelezea baadhi mipango mikubwa ambayo ameitekeleza ambayo imekua ikiwatatiza wananchi wa Mkoa wa Dodoma...
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe kimetoa wito kwa wananchi mkoani humo kujiandaa na uchaguzi kwa kuwa ni takwa la kikatiba huku wakidai kuwa hakuna Chama chenye uwezo wa kuzuia takwa hilo...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, alivyokutana na Wabunge wa CCM kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara, kujadili changamoto ya miundombinu Kusini.
Miaka hii ya Karibuni usagaji imekua kama Ruksa. Wasanii wakubwa wanajiachia kwenye social media na hawachukuliwi hatua. Nini kinaendelea?
**Kama nchi tunaelekea wapi?
Mch. Msigwa anadai "Nilikuwa Kipofu Nikiwa Chadema, Sasa Naona," lakini kauli hii inaweza kuwa ni mbinu ya kisiasa tu ya kujiimarisha ndani ya CCM, chama ambacho wengi wamechoka nacho kwa miaka 60...
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema kabla ya kujiunga na CCM, ameibua tuhuma nzito dhidi ya wakili maarufu Fatma Karume, akimtuhumu kwa kushiriki...
Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64..............
Tundu A. M. Lissu (Makamu M/Kiti CHADEMA Taifa Upande wa Tanganyika na...
Namuona simba akiwa amejikunyata tayari kukamata windo lake. ACT wazalendo wamebakiza hiviiii tu wakamate kambi ya upinzani.
Na kama wakifanikiwa kupata vichwa vikali bungeni, tunawasahau chadema...
Unamuweka ndani Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini ili asifanye siasa. Hapa unatuma meseji gani, kwamba kama unazuia watu kufanya siasa za kudai mabadiliko, wewe uko tayari kufanya...
Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi.
Hata...
Maandamano kama hayo ya wanawake wakiwa uchi wa mnyama yalishafanyika mara kadhaa kwenye nchi za ulaya ili kushinikiza kitu fulani. Midume ya ulaya kwa kuwa hayana nguvu timilifu za kiume huwa...
Tume hii ya Uchaguzi chini ya Jaji Mwambegele na Katibu wake Kailima.
Imejithibitisha bila kuacha shaka kwamba haiwezi kuendesha na kusimamia uchaguzi wa haki kwa vyama vyote...
FOR ACADEMIC PURPOSES ONLY
Kwa madhumuni ya kuhakikisha uchaguzi unaendeshwa kwa kwa kutii miiko na kwa haki,usawa na amani, Sheria ya uchaguzi wa Raisi, Wabunge na Madiwani Tanzania ya mwaka...
Hiki mnachokifanya na mnachowafanyia watanzania wenye akili timamu kitawarudia. Karma is real.
Kama mnadhani watanzania ni wajinga na waoga wote,jibu ni hapana. Ni kweli mtaji wenu ni baadhi ya...
Fukuto ni kubwa na linazidi kuwabana hewa! Hapatoshi wala hapatoshani... Hatimaye wameamua kumkamata.. Hii ni aibu kubwa Sana! Na ni kushindwa kubaya kabisa
Walianza kwnye kinyang'anyiro cha...
Kwenda kusaini kitu kinachoitwa Maadili ya uchaguzi bila kufanyika kwanza reforms ni sawa kabisa na kusaini hati ya kifo chako wewe mwenyewe.
Mimi niwaombe sana ndugu zangu wapigania uhuru wa...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhani amewaasa Viongozi wa Jumuiya ya Vijana ngazi zote ndani ya mkoa wa Kagera kufanya kazi kwa bidii ili kuzitendea haki nafasi walizonazo kwenye...
Hii si mara ya kwanza kusema Uchaguzi ni gharama na maandalizi makubwa yanahitajika na hili upinzani unasahau na ndipo CCM inapokuwa hatua moja mbele yao siku zote.
Miaka yote upinzani hususani...
Hii slogan ni sawa na kisu kikali kinachotishia uhai wa washika mpini waliojisahau na kudhani wana haki miliki na Tanganyika..
Mwanzoni walidhani haitawezekana lakini sasa kisu hiki kimeanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.