Awali ya yote nachukua fursa hii kutoa pole kwa familia , Wana - Rorya na Watanzania wote kwa ujumla kwa kuondokewa na Mzee wetu , Daktari Bingwa wa Mifupa Professor Philemon Mikol Sarungi...
Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya...
Tanzania ni nchi ya wazembe na vijana wa hovyo sana !kwa nchi zingine tusingesikia eti polisi wanavamia mkutano wa upinzani ni kama wanavamia jambazi au ni oparesheni ya kukamata magaidi. Nchi...
Baada ya kuangalia kinachoendelea kuhusu joto la siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nimebaini kwa namna moja hama nyingine Lissu na CHADEMA wamebeba nia njema kuhusu no reforms no...
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.
Huyu...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA wanashangaza sana, wanasikitisha sana, wanatia aibu sana, wanaleta maswali yasiyo na majibu na kuonyesha namna ambavyo bado ni chama kichanga na chenye Ombwe la...
Kwa Tanzania Lissu tofauti na huko nyuma anaonakana zaidi kama shujaa wa wanyonge na si kama mwenyekiti wa chama pekee.
Kampeni zake za mwaka jana zimempandisha chat zaidi hata ya zamani na...
DKT. GWAJIMA AITAKA JAMII KUZITUMIA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI
Na WMJJWM-Mtwara
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy...
Ni katika awamu hii mwenyekiti wa chama alikamatwa na kushitakiwa kwa kesi ya ugaidi,akapotezewa muda na baadae akaachiwa.
Fumba na kufumbua mwenyekiti wa chama tena anakamatwa na kufunguliwa...
Wasalaam ndugu zangu
Binafsi nawapongeza CHADEMA kutokwenda kusaini kanuni za maadili kwa sababu naona wamejitambua kwa sababu zifuatazo:
1.Uchaguzi ni fursa ya kwa wanachi kuchagua viongozi...
Bunge lililopo limezeeka sana limejaa vikongwe
Sensa inaonyesha idadi kubwa ya watu Tanzania ni vijana. Vijana wengi wa CCM kachukueni fomu kugombea ubunge na udiwani Ili kama nchi tuanze kupata...
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu...
Habari za Kazi wana JamiiForums,
Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa...
Polisi na Usalama wa Taifa mna hoja ya kujibu hapa
=====
Wangazaji wa Wasafi wakiwa kwenye kipindi (Zembwela, Maulid, na Gerland) wamerusha hili swali wakitaka mchambuzi ajibu swali hilo...
wale anao amini na kumjaza kibri cha kutukana na kusema lolote hawaonekani mtaani wala kwenye mkutano wengine wapo vitandani wana-push free Lissu...mimi ni mtazanzania nina uzoefu na watanzania...
CCM kama hamtaki bora ipitishwe sheria bungeni ya kufuta upinzani , haiwezekani muanze kutuma askari polisi wapite kwenye vijiwe vya bodaboda na kuwatisha kuto shiriki kwenye mikutano na...
Kama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Je utafiti umefanyika wa kutisha KUWA mbinu zenu zitasaidia mabadiliko ambayo yatasababisha uchaguzi huru...
FOR ACADEMIC PURPOSE ONLY.
Uaminifu au utii kwa Nchi ni jukumu mama na la kwanza kwa Kila raia wa Nchi husika. Mtu yeyote asiye raia anaweza kutokuwa muamimifu kwa Nchi yoyote na isiwe na madhara...
Sijamsingizia yeyote. Moderators najua mtataka kuufuta huu uzi. Ila sijavunja kanuni yoyote.
Kwa umri samia hawezi kuwa na mtoto kama Tundu Lissu. Nakumbuka samia akiwa zanzibar alimwona Simba...
Basi leo wakati wa jioni baada ya mihangaiko nikawa nafanya mazoezi.
Ni kawaida yangu kufanya angalau mara tatu kwa wiki.
Kwa kuwa tuko ktk kipindi cha maombolezo kipindi cha kuomba toba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.