Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa...
10 Reactions
50 Replies
3K Views
Chadema angalau ni chama ambacho kinajulikana kwa wananchi mpaka wa vijijini na kina hamasa kwenye uchaguzi Vijana wengi walitegemea Chadema maana kule ccm ni wazee na matajiri,kijana kupenya si...
1 Reactions
3 Replies
330 Views
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Tunaomba msaada wa kumsaidia mwalimu Mohonia Joseph aliyekamatwa jana. Huyo ni mwalimu mwenzetu tusiokuwa na ajira ambao tulianzisha vuguvugu la kudai haki ya ajira...
8 Reactions
66 Replies
3K Views
Mtumishi wa Mungu wa Huduma ya Kristo, Steven Jacob amefichua mpango wa Chama cha Mapinduzi kuwafuta wabunge wote wa Kanda ya Ziwa na kuweka watu wao sikiliza kwa makini video hii inayofichua...
1 Reactions
9 Replies
754 Views
Wakuu Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, alipaswa kutoa taarifa muhimu kwa umma kuhusu masuala ya uchaguzi kupitia vyombo vingi vya habari ili...
1 Reactions
5 Replies
415 Views
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania. Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki...
1 Reactions
1 Replies
354 Views
Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam. Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema...
152 Reactions
516 Replies
30K Views
Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema; "Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Wanabodi, Wakati tukisubira hiyo saa 11:00, naomba kuchukua fursa hii, kuwaandaa kisaikolojia, ndugu zangu Watanzania, lazima tujifunze kukubali kitu kinachoitwa "Utawala wa Sheria" "The Rule of...
4 Reactions
117 Replies
11K Views
Waswahili wanasema siku ya kufa nyani miti yote uteleza. Msemo huu unaweza kuuchukulia kawaida ila kiukweli haya ndo yanayokikumba Chama cha Mapinduzi mwaka huu Ukisoma hati ya Mashtaka ya...
46 Reactions
133 Replies
8K Views
Bila Shaka hamjambo! Hata Wana CCM wengi wamechoka kuabudu na kuogopa baadhi ya familia za viongozi. Hakuna mwana CCM anayependa kuwa Chawa, au mzazi anayefurahia kuona mtoto Wake aliyemzaa...
15 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama kawaida, Edo na Baba Levo ndio watu ambao they can speak nothing but truth . Edo alishawahi kumwambia Cheusi kuwa asiseme watu wanajiteka wakati wanapoteza familia zao. Baba Levo ana inborn...
21 Reactions
46 Replies
3K Views
Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako...
4 Reactions
26 Replies
845 Views
Wanasaikolojia husema binadamu (siyo mtu) dhaifu hujaribu kuficha udhaifu wake kwa kufanya mambo yake kwa kutegemea mitulinga. CCM imekuwa inaongoza nchi hii Kwa zaidi ya miaka 33 sasa tangu...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema kwa vijana wanaotafuta ajira, ajira zinatengenezwa na Chama cha Mapinduzi.
2 Reactions
19 Replies
954 Views
BUNGE la 12 linavunjwa rasmi Tarehe 27 Juni 2025 baada ya kumaliza kazi yake kwa miaka 5 kama watanzania tutalikumbuka Bunge hili kwa lipi chini ya Spika Tulia Ackson?
1 Reactions
48 Replies
2K Views
Nasema hivi nikiwa hai,kwa mwenye akili anajua kabisa watu wanaenda kutema nyongo zao, Yaani ukweli wa uovu wao CCM sasa uanenda kuanikwa kweupe.Watu wanaenda kuungana kwa waziwazi kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Najaribu kuwaza tu kinachoweza kutokea, aidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya , any cause of harm or worse, death of Lissu while in your custody, tawaeleza nini watanzania na dunia? Muachieni...
17 Reactions
53 Replies
2K Views
Baada ya uchaguzi wa Mwaka 2019 na 2020 kuwa wa dhuruma na kuchafuliwa Chadema walikubaliana kutoshiriki Chaguzi zozote mpaka kuwe na tume huru, ila badae walijitafakari na kuamua kuingia kwenye...
10 Reactions
11 Replies
700 Views
Back
Top Bottom