Awali ya yote niseme kuwa watu kutofautiana mawazo ni jambo zuri na la kawaida sana, ikiwa wataendelea kuheshimiana kwa tofauti zao, yaani kutofautiana pasina kuhitilafiana.
Misimamo ya CHADEMA...
Yakasemwa na tume ya Jaji Kisanga, yakarudiwa na tume ya Jaji Bomani yakaja kurudiwa zaidi na tume Jaji Warioba.( Hizo ni tume zilizoundwa na wasomi huru sio machawa).
Ukweli ni kwamba ...
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge...
Katika uhalisia!!
CCM ni ngumu kufanya Reform kwa muda huu mfupi, hata upinzani wanalifahamu.... hilo.....
Sasa Upinzani watapata nini?
1. Wamefanya mjadala wa siasa ubadilike ...katika siasa...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekumbwa na changamoto nyingi za kisiasa zinazohusiana na haki, usawa, na uendeshaji wa chaguzi.
Kauli mbiu “Bila CHADEMA hakuna uchaguzi” na “No reform...
Katika hali ya kawaida sio kwamba wahusika wamepuuza kinachoendelea kutokana na mapendekezo ya vyama vya upinzani.
Ukweli ni kwamba nyuma ya pazia wanajaribu kuona cha kufanya (wanapima) kwamba...
Ni mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April.
Tarehe hii haipo kisheria...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali za mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu...
Wakuu
Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania...
The Hon. Chief Justice Mohamed C. Othman.
At this time in the country's history it is hard to believe that there is an independent and working judicial system, it is hard to believe there is a...
Watu wengi wanajisahau na kujitoa fikra. Chadema kutokushiriki maana yake ni kwamba kuna Watanzania wengi hawatoshiriki uchaguzi hasa wakijua matokeo kama 2019, 2020, na 2024 yamesha pangwa.
Kwa...
Bado msimamo wa chama unawachanganya CHADEMA Uongozi unasema watazuia uchaguzi. Kusaini maadili ni sehemu ya uchaguzi. Nlitarajia Mnyika aende pale akazuie kipengele hiki cha uchaguzi. Hajafanya...
Chadema waache kukurupuka. Bahati mbaya wengi wao elimu yao ya kuunga unga hawajafika Chuo Kikuu.... Wangemjua huyu profesa
===========
Huyu ni Prof Michael Ndanshau, Mhadhiri Mwandamizi wa Uchumi...
Yaani huu ndiyo ukweli mchungu, tunaenda kuona mmoja baada mwingine akijiondoa kimyakimya sababu hamna maslai tena, watabaki tu wafia chama,hamna kura feki,hamna mtu kukatwa sijui kakosea kujaza...
Huu Ujumbe mzuri sana kwa Taifa. Hata sisiem tumeona hoja zipo. Na kwa kuwa hatuna woga wowote na uchaguzi tunasisitiza kuwa tunataka Tume huru ya Uchaguzi ili Rais achaguliwe kwa haki.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameeleza kuwa hatma ya maendeleo ya kiuchumi Barani Afrika inategemea umoja ulio imara wa bara hilo...
Kuna vitu watu wanaweza kukufanyia wakadhani wamekumaliza kumbe ndo wamekunyanyua mara 1000 zaidi.
Pamoja na hila na madhila yote ambayo CCM wamewafanyia na wanawafanyia CHADEMA, ukweli ni kwamba...
Ogopa ku deal na watu wasio na aibu, hawa watu hawana ustaarabu na hawawezi kujisikia mshipa wa aibu.
Kama kulikua na madudu ya kupita bila kupingwa, kura ziliokotwa kama karanga kule kawe...
Ndugu zangu Watanzania,
Baada ya kufunguliwa Kwa pazia na kupulizwa kwa Filimbi ya kuchukua Fomu za Kuomba kuteuliwa nafasi za kugombea Udiwani na ubunge ndani ya CCM.
Nilikuwa nashauri na...
Ndugu zangu Watanzania,
Cheza na mtu Mwingine lakini usicheze na Mtanzania. Mtanzania hatakagi masihara linapokuja suala la uhai wake na usalama wa mwili wake. Hakuna mtanzania Mwenye akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.