Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Endapo habari za vifo vya watu karibu ishirini kwenye ukumbi wa NSSF zitakuwa ndivyo zilivyo mtu wa kwanza kuwajibika itabidi awe Mkurugenzi wa NSSF Dr. Ramadhani Dau.
0 Reactions
575 Replies
68K Views
Uchambuzi wa Kikatiba chini ya Ibara ya 74(11) na (12) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 Utangulizi Demokrasia ya kweli hujengwa juu ya misingi ya kuheshimu Katiba, taasisi, na...
2 Reactions
10 Replies
995 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Uturuki. Katika ziara hiyo ameshiriki Mkutano wa 4 wa Diplomasia wa...
1 Reactions
3 Replies
332 Views
Ifanye hivyo ili iwe fundisho kwa watumishi wa umma wenye tamaa na kila nafasi ya utumishi na wasioridhika kuwatumikia wananchi kwenye nafasi wanazotumikia kwa sasa. Majuzi, jaji mkuu alitoa...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
EIB KUONGEZA UFADHILI KWA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI TANZANIA • Yatangaza ufadhili mpya kwa miradi mitano nchini. Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank – EIB) imeahidi kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Wakuu, Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili utafanyika sambamba na uwekaji wazi wa Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia tarehe 01 Mei, 2025 na kukamilika tarehe 04...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ajali ilitokea usiku wa manane, dereva na abiria wakafa hapohapo. Tunaambiwa dereva alikuwa anamkwepa mwendesha baiskeli. Je nani alimuona huyo mwendesha baiskeli? Huyo aliyemuona alikuwa wapi...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Simiyu, Mussa Onesmo anadaiwa kukamatwa na Askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ambako...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Mvumi (CCM) Livingstone Lusinde (Kibajaji) amekosoa mfumo unaotumika kutoa ajira nchini kwa madai mfumo huo umekuwa hauwatendei haki Watanzania na unachangia kuleta mawazo kwa...
1 Reactions
1 Replies
523 Views
Wana CCM tuna ile kitu wakati mwingine tunaita mob psychology. Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe. Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana...
13 Reactions
99 Replies
4K Views
No Reforms No Election [emoji91] Hii ni nchi yetu sote tusitishane!
9 Reactions
73 Replies
4K Views
Asalaam Aleykum wana JF, Ama baada ya salamu hizo, niingie kwenye hoja. Mara nyingi na kwenye jamii nyingi, matajiri na watawala huogopa mabadiliko kwa sababu yanatishia maslahi yao tofauti na...
0 Reactions
4 Replies
351 Views
Msikilize hadi mwisho, utajifunza na kuacha mihemko ya kutaka kuingilia kesi iliyoko mahakamani. https://youtu.be/ZU3LGBjghAw?si=YC8lt5lASFFSCzIB
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Katika mwendelezo wa kampeni ya No reform no election kwa siku ya jana nilimsikiliza Mh Heche kwa dk20 nimeona ongea yake inatofauti na kabla Mh Lissu hajakamatwa. Jana amezungumza akionesha...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwenye picha aliibuka kupinga, sasa aliyetajwa Prof Ndashau amekana huyo sio yeye 😃😃😄 Comments ziwe fupifupi
13 Reactions
45 Replies
3K Views
Jamani tangu Lissu avae combati ya NO REFORMS NO ELECTION hakuna sauti ya kiongozi yeyote aliyemjibu. Ukiona ukimia kiasi hiki tujue na wao wanahitaji mabadiliko. Hivi visungira humu mtandaoni...
2 Reactions
8 Replies
580 Views
Wakuu, Sakata la Tundu Lissu kukamatwa na kuwekwa ndani kwa uahini limeendelea kuchukua sura mpya. Siku ya leo taasisi za haki za binadamu na sheria kutokea Afrika Mashariki yameungana na kutoa...
3 Reactions
3 Replies
742 Views
Serikali inaendelea na upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Victoria hadi mikoa ya Singida na Dodoma, ambao unatarajiwa kukamilika ifikapo Juni 2025. Naibu...
1 Reactions
4 Replies
605 Views
Taasisi za 9 Wanasheria zimeijia juu Serikali ya Tanzania kwa kumbambika kesi ya uwongo ya uhaini Mhe. Lissu na kumtaka Rais Samia kuirudia ahadi yake aliyoitoa alipoapishwa ya kuheshimu...
3 Reactions
5 Replies
789 Views
Hii si habari mbaya kwa mama kupatiwa mlango wa kutokea: Wanasiasa waachwe wafanye siasa! Heko Dr. Nchimbi rhumba liendelee: Kazi iendelee. "No reforms no election!"
11 Reactions
57 Replies
3K Views
Back
Top Bottom