Kuna ndugu hapa ni mwana Chadema mzuri Sana na ni mwenezi wa TAWI. nimekaa nae nikamwuliza hili swali Ila amefeli kabisa kunipa hoja akaanza kunitolea maneno ya dhihaka badala ya kujibu swali...
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mlali Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro Herrieth Ngonde, amedai kushambuliwa kwa kupigwa na Diwani wa Kata hiyo Frank Mwananziche wakiwa katika kikao...
Wakili wa kujitegemea Ezekiel Mwampaka amesema anakubaliana na mpango wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kutaka kutofanyika kwa uchaguzi mkuu baadaye Oktoba 2025 kutokana na kudai...
https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=h2rmCO7VUQwe_PWb
➡️Huu ni unabii mwingine kumhusu Tundu Lissu kutoka kwa nabii aitwaye "Prophet Denis wa Tanzania...."
➡️ Nimemsikiliza na kumtazama hadi mwisho...
Watanzania wote tuunganeni Kwa pamoja Bila Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi, UCHAGUZI USIFANYIKE !!.
Moja ya vielelezo vitakavyoenda kuwaadhirisha Jeshi la Polisi Tanzania kwenye KESI YA KIJINGA...
Huu ni wakati muhimu Tanzania toka uhuru. Kwana wengine wanaweka utani lakini waelewa wanajua huu ndiyo wakati hasa mashujaa wa karne hii watatokea. Si punde watu wataamka usingizini na kuona haya
Tundu Antipas Lissu ni mtu ambaye amekoswa-koswa sana katika siasa za nchi hii. Amenyimwa haki zake alipokuwa Mbunge, Amepigwa, amefungwa, ametukanwa na kumiminiwa risasi nyingi sana ili tu auawe...
Anaandika JJ Mnyika Katibu Mkuu.
Kujibu andiko la Wakili Msomi Jonathan Mndeme
———————
Kabla ya vifungu vya 162(2) na (3) vya Sheria ulipaswa kuanza na 162 (1).
Kifungu cha 162(1) kinaeleza...
Ukisoma historia za Dini toka enzi za Mitume na Manabii,Viongozi wote wa Dini walikuwa tofauti na selikari zao za kipindi hicho, sababu ya kuwa na Imani ya Muumba wao, wakazisimamia jamii...
Habari wakuu nimesikia mjadara sehemu wa sheria ya maadiri inataja vitu vifuatavyo
1, chama cha siasa au mgombea anaweza kusain fom ya maadili muda wowote kabla ya kampeni kuanza
2, uchaguzi ni...
Ni mjinga tu au kibaraka kwa malengo maalum anayeweza kufanya upumbavu wa namna hiyo.
Unajua utapigwa na polisi, utaibiwa kura, utaharibiwa mikutano yako ya kampeni na wakishindwa vyote hivyo...
Najiuliza sana ni kwa nini viongozi wetu wanajiskia fahari katika mazingira ambayo walipaswa kujionea aibu.
Maana tuna nchi nyingi sana ambazo miaka ya 60 na 70 nilikuwa nyuma yetu kiuchumi lakini...
Kutokana na uwepo wa taarifa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kulikosababishwa na kukataa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Mwenyekiti wa UVCCM...
Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu?
======
37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi...
Nimesoma kule Al jazira kwamba Chadema imepoteza sifa za kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025
Hii ni fursa kwa wanachadema wenye taranta za uongozi kuhamia ccm na kugombea ubunge na udiwani
Nawatakia...
Kambona alikuwa anaitwa mhaini.
Halafu Kambona aliondoka nchini.
Kambona alikuwa ameshinda bahati nasibu ya kimataifa, akapata hela nyingi akaamua kuondoka Tanzania.
Halafu akafika Nairobi.
Jomo...
UJASIRI WA UFISADI
Mkataba kati ya TANESCO na Richmond Development wa tarehe 23 Juni, 2006 wa kuingiza majenereta ya umeme kufuatia upungufu wa nishati hiyo uliokuwa umekithiri nchini mwaka 2006...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.