Katika kila kona ya nchi yetu—kutoka mijini hadi vijijini, kutoka kwa masikini hadi matajiri—Watanzania tumekuwa tukilalamika, tukilia kimya kimya, tukibeba maumivu ya mfumo kandamizi usiowajali...
Ndugu zangu Watanzania,
Tunaweza kuwa tunailaumu CHADEMA kwa mpasuko, Mgawanyiko,mtanziko, mvurugano na mivutano bila kujua kiini chake na kwanini chama kinapitia Mkwamo na hali hiyo ...
Watanzania wenzangu haya ni maajabu na kweli maana naona kama nipo ndotoni.
Zinakaribia siku kama 700 hivi lile neno WASIOJULIKANA nimelisahau kabisa maana halisikiki tena.
Kwani jamii hiyo ya...
Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo mkoa wa Songwe Ezekia Zambi, akiwaasa vijana kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na...
Naomba kuanza na Msingi wa kisheria ( Legal principle) ya “Waiver of right principle” Waiving a right means that such a right cannot be claimed by that individual. Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi ni...
Tulishasema humu kwamba hakuna kijiji kitakachoachwa, Hii Neema ya kupinga Mauaji na Utekaji unaotokana na Uchaguzi itafika kila mahali Nchi Nzima.
Leo Wananchi wa Kyela wamepata Bahati hiyo...
Nembo Asilia ya Taifa lililoasisiwa mwaka 1961 na Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere, maarufu kama "Nembo ya Bibi na Bwana"
Nembo Mpya ya Taifa linaloongozwa na Rais Samia tangu 17 Machi...
Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki...
Ukweli ni kwamba tunahitaji mabadiliko ya kanuni na sheria za uchaguzi. Hatuwezi kuwa conservative. Kwanini hawa jamaa hawataki mabadiliko?
Hivi kweli unaweza ukawa na mfumo kama huu ukasema una...
Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Evaline Munisi amesema asilimia 98 ya maoni na mapendekezo yaliyotolewa na Chama hicho yamechukuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakati wa kutunga Kanuni...
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Omary Chulla, amesema kuwa kauli ya “No Reforms, No Election” ni dhana ya...
https://youtu.be/ndX_mdsDQgE?si=LMefkXNTILIuR2qg
➡️ Mwachieni Tundu Lissu maana hamtapata uhaini wowote katika maneno ya Tundu Lissu...!
➡️Tundu Lissu ni mwanasiasa, mpinzani wa serikali na lugha...
Jimbo la ukonga ambalo mbunge wake ni mh jerry slaa lina miundombinu ya barabara ambayo ni mibovu labda kuliko majimbo yote ya Dar es Salaam.
Barabara ya banana- kitunda mashimo matupu.
Barabara...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,...
Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote...
1. Huyu Mkurya ndo Moto pengine kuliko Bryson!
2. Aisee kwann hawa watu hafanyi risk assessment? Heche ni Moto na haogopi pia Hatumii mihemko kama Bry!
Kuna mambo mengi sana yanayoshangaza sana duniani lakini la kwanza ni siasa ya Tanzania, sijajua kama ni Tanzania au Afrika kwasababu ni siasa ambayo ukisimamia sheria hutaeleweka lakini pia...
Raisi Samia mwaka 2021-2022 alikuwa na nguvu na aliteka Tanzania alikuwa ana alikwa kwenye mataifa makubwa sana lakini kuanzia 2023 Raisi Samia amekuwa dhaifu na kuonekana ni Raisi wa kuendeshwa...
Jamani naomba kuuliza mimi sijaelewa. Chadema wametolewa kwenye mchakato wa uchaguzi au wameondolewa?
Lipi sahihi kusema wa meondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi. Au kusema wamejiondoa...
Diwani viti maalumu Kutoka Wilaya ya Mpwapwa Mariam Makasi Amesema Kuelekea uchaguzi Mkuu Kwa aliofanya Rais Samia katika Nchi imetengeneza njia nzuri ya kuwafanya wao kutohangaika kutafuta kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.