Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

09 April 2025 MWABUKUSI AFUNGUKA MAZITO ATOA MSIMAMO WA TLS ''HATUMUOGOPI MTU'' AGUSIA NO REFORM NO ELECTION https://m.youtube.com/watch?v=zFB3QFtmK3w TLS ni mshauri wa umma people's power wakati...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Nchi ya Tanzania inatakiwa iige utaratibu wa Tume Huru ya Kenya. Kupata Mwenyekiti na Makamishna wa Uchaguzi wanatakiwa wapatikane kwa njia ya haki. Mfano wiki hii kule Kenya wametangaza nafasi...
0 Reactions
1 Replies
491 Views
Huwezi ukaudanganya umma siku zote. Kwa vyovyote vile ilijulikana kuwa Kutakuwa na Uchaguzi wa SM mwaka huu na mwezi huu. Lakini inashangaza kuona CDM wapo kwenye mchakato wa uchaguzi wa ndani wa...
0 Reactions
16 Replies
876 Views
Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Aprili 13, 2025, nchini Saudi Arabia...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Wakuu hii ndo Ccm ninayoijua Mimi ambayo haijali wewe ulikuwa nani , umejitoa kiasi gani n.k Mpaka Sasa Justin kimodoi mwili wake haujaletwa kwao Bukoba kwa ajili ya mazishi . Changamoto kubwa...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu: Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Hakuna haja ya kusimama jukwaani na kuwashutumu watu kuwa wanampango wa kuharibu amani. Serikali ipo vizuri na imesimama imara na iwape wananchi uhuru wa kuchagua wanyemtaka kwenye uchaguzi Mkuu...
0 Reactions
2 Replies
329 Views
Oneni maigizo ya CCM yalivyobuma japo wao wanavyoyapanga wanakua wanahisi "Wametumia Akili kwelikweli”. Suala la Uenyekiti wa CHADEMA na Mgombea Urais Kupitia CHADEMA , maandalizi yalianza...
16 Reactions
30 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa jimbo hili limeongozwa na chama twala kwa miaka yote isipokuwa mitano tu tangia nchi ipate uhuru wake lakini bado limekuwa la mwisho kimandeleao jijini Daresalaam! Kwa Upande wa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Ujumbe WA Mwl JK Nyerere juu ya watu wasiopenda mabadiliko , sasa sijui sisiemu hawapendi Mabadiliko au ni Vyama Vingine au ndio njia ya kumuenzi Nyerere
1 Reactions
0 Replies
321 Views
Kundi au watu wafuatao wameshiriki kuiuwa CHADEMA kwa mikono yao kwa makusudi mazima na wanastahili kulaumiwa sana 1.Wajumbe wa mkutano mkuu 2.Lissu 3.Lema 4.Heche 5.Wanaharakati uchwara 6.Dr Slaa...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
https://youtu.be/me1JGU0NJaI?si=sO6f7TbfyzSezwww ➡Yeyote anayeweza kumsikiliza huyu mzee, na bado anaamini kuwa Tanzania kuna chaguzi, anaweza kubadili mawazo yake haraka sana na kuanza kupigania...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Tangu kwenye kuanza kwa Bunge hili la kumi,Wakili Msomi Tundu A.M.Lissu (Mbunge wa Singida Mashariki-CHADEMA) amekuwa akizungumzia suala la Muungano mara kwa mara. Amekuwa akitoa wito,kwa nyaraka...
31 Reactions
120 Replies
14K Views
Nikimalizia Johnmtembezi hapa katika vienga vya kutunga sheria, ili baadae tuwahi majukumu. Huyu jamaa na sauti zake za ndani hasa za tahadhari sisichukuliwe kirahisi. Malaika wananamna nyingi na...
0 Reactions
1 Replies
399 Views
Mwandishi: Elly Maduhu Nkonya Katika hatua ya kushangaza lakini yenye ujumbe mzito, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekataa kusaini kanuni mpya za uchaguzi zilizotolewa kwa ajili...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amesema mmiliki wa nchi hii siyo chama chochote bali ni Watanzania wote. Amesema kitendo cha Chama cha Demokrasia na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa Mpya ya leo kutoka Kanda ya Nyasa, kwenye vile vinavyoitwa vipora vilivyosalia. Wananchi wote wa Mbarali wakiwemo wanaccm wamekubaliana na hoja ya Chadema ya No Reform No...
4 Reactions
10 Replies
707 Views
Hello! Yaani gari inanunuliwa Hadi 600 ml kwa Kodi za wananchi maskini, lakini haikatiwi Bima kubwa, Kuna mtu anayejua sababu ni Nini hasa? Au ni vile vya umma havina mwenyewe? RIP mkurunzi...
2 Reactions
15 Replies
747 Views
Hivi kumuuwa mtu ambaye anataka tu sheria zinadilike ili chaguzi kuwa huru kwa Watanzania wote ni kwa kumnufaisha nani? Je ni kunufaida Watanzania hao hao!? Kama kweli watu wana nia nzuri na nchi...
4 Reactions
7 Replies
352 Views
Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni Sana ,niliwaeleza sana CHADEMA, niliwapa Elimu wana CHADEMA,niliwatahadhalisha wana CHADEMA kuwa kumchagua Lissu kuwa Mwenyekiti ilikuwa ni sawa na kujipiga...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
Back
Top Bottom