Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Kagera, Waziri wa sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewata viongozi kuwa watatuzi wa migogoro na siyo kuwa vyanzo vya...
Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya...
Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi...
Wakuu!
Hii sasa siyo siasa tena, ni maigizo ya waziwazi bungeni! Naibu Waziri Ummy Nderiananga anapata nafasi ya dakika chache kujibu hoja muhimu kwa mustakabali wa taifa, lakini anatumia zaidi...
Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake thabiti unaoendelea kuleta mafanikio makubwa katika...
Historia inaonesha wanaokandamizwa kama hivi huja kuibuka na kuwa washindi.... upepo unaonesha nini kwa Tanzania?
====
Anaandika Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi, Askofu wa Jimbo Katoliki la...
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM taifa (UVCCM), CDE Mohamed Kawaida amekiri kupokea malalamiko kutoka kwa vijana wa CHADEMA wakilalamikia kunyimwa haki ya kuchagua na chama chao kwa kitendo cha...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Jimbo la Segerea Mkoani Dar Es salaam, Bw. Patrick Asenga amesema taarifa zinazosambaa mtandaoni zikidai kuwa amefurushwa kwenye kikao cha...
Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ameeleza yale yote yaliotekelezwa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na kusema pamoja na yote bado hatoacha Kumuomba...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 9, 2024 Jijini Dodoma ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atasoma hotuba ya bajeti ya ofisi yake na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026...
Ukitaka kujua Tanzania kuna wansiiasa waongo Tanzania mfano mmojawapo ni Askofu Gwajima. Msikilize akiongea uongo mchanna kweupe
https://youtu.be/3TP3YX-9Y5c?si=-YCeQvTrMIOY2Cqz
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita kimetoa wito kwa wanachama wake kuzingatia utulivu na kuheshimu taratibu zilizowekwa wakati wa kuchukua fomu za kugombea nafasi...
Hii jamii ya kisukuma inaonekana imekaa kibaguzi, Magufuli aliibagua sana Arusha, alihamisha hata sherehe za kutunuku kamisheni wanajeshi ikulu Dsm wakati chuo kilichowafundisha wanajeshi kipo...
Ukiangalia mijadala ya Bungeni na ukija ukiangalia mijadala ya Wabongo mitaani basi ufanano ni mkubwa sana. kwa kifupi Bungeni pale ni reflection ya akili za Watanzania mtaani.
Bunge liko busy na...
Salaam Wakuu,
Imedaiwa Eti, Tanzania kupitia Stamico tumesaini mkataba wa kuuza Madini ya Makaa ya Mawe kwa dola 29.5 ambayo ni sawa na Shilingi 69,444 (Elfu sitini na tisa na Mia nne arobaini na...
Kiapo cha JWTZ ni kulinda mipaka ya nchi na si kulinda chama cha siasa. Ni aibu mvaa kombati ya ulinzi wa nchi kujikomba na kuwa chawa wa mwanasiasa!
Aibu yenu...
Maneno haya hayaachi shaka hata kidogo:
Tuweke rekodi sawa sawa, ipo tofauti baina ya kustaafu na kupigwa mweleka. Misamiati miwili hii ni tofauti.
Ama kwa hakika ukisikia mtu mzima kama huyu...
Nchi inaenda kwa kufuata kiongozi mkuu anataka nini, ila haifati kuwa kwasasa kama nchi tunahitaji nini..!
Si mbaya kiongozi kuwa na vipendeleo vyake lakini ni vyema mapendekezo ya nchi kwa wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.