Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam Inayoketi Kisutu Shauri la Jinai namba 202504102000008606 Jamhuri dhidi ya Tundu Antipace Lissu mbele ya Mhe. Geofrey Mhini, Hakimu Mkazi Mwandamizi...
Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya.
Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa...
Uhuru wa Kujieleza:
Mwaka 2024, uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, kusimamishwa kwa leseni za vyombo vya habari, na matukio ya kukamatwa, kushambuliwa, kunyanyaswa, na kufungwa...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024
Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao...
Ni jambo la kheri kuwa wanaharakati na wanasiasa hatimaye wametengana na kila mmoja anapambana na hali yake. Kuvunjika kwa koleo sI mwisho wa uhunzi.
Kwani hata nini cha mno kilipatikana tokea...
Bunge mtunga sheria anaajiri raia wa kigeni kuwa Msaidizi wake kwenye chama bila kibali, anampa Password yake ya Mitandao ya Kijamii anakuwa moderater wa account ya mitandao ya kijamii anatukana...
Wakuu,
Polisi wameanza uchunguzi wa tukio la Padre Kitima kushambuliwa lakini mpaka leo hakuna majibu ya uchunguzi wa tukio la kuuliwa kwa Ali Kibao, utekaji wa Soka na wenzake, Abdul Nondo...
Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi alivyomsonya Mwenyekiti wa Bunge wakati akichangia Bajeti ya Ujenzi baada ya kuambiwa muda wake wa kuchangia umeisha.
Tukio la Padre Kitima si la kufanyia mzaha. Iwe wake up call kwa mawakili wa Lisu kuchukua tahadhali zaidi. Maisha yenu yanaweza kuwa hatarini
Kwa asiye na unafiki, ana akili za kawaida ndogo tu...
Haki za kiraia na kisiasa nchini Tanzania mwaka 2024 zilikumbwa na changamoto mbalimbali zikiwemo vurugu za wananchi, mauaji yasiyo ya kisheria, mauaji yanayochochewa na imani za kishirikina...
Uchaguzi wa ushindani ndio tunao utazamia pale mgombea anaposimama na kueleza yale atakayo yafanya na kuyatekeleza kwa ushindani wa vitendo kwa upinzani, na sio uchaguzi wa kujiteuwa ulipo kwa...
Sasa tunaingia kwenye kesi ya pili ya Uhaini
Hakimu anaingia ile sauti ya askari courtttttttttt inasikika
Watu wote wanasimama, Hakimu anaketi then kila mtu anaketi.
Anasimama Karani wa...
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumanne Mei 06.2025 kesi mbili (2) zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu...
Hamuwezi kuwa na haitoshi mnajilabu ni lichama likubwa na kinawanachama wengi sana kuliko hata CCM,tuchukulie ipo hivyo , na kama haitoshi wengi walioko huko mnafahamiana nao kwa mbali na hata kwa...
Tumewahi kuona clip za video zilizovuja wazungu wakiwa kwenye mikutano yao wakipanga namna Afrika inatakiwa kuwa eneo la vurugu mapigano na maafa kusudi wenyeji wabakie masikini.
Kwamba Maliasili...
Wakuu,
TLS, LHRC msituambie hamkutegemea haya kutokea ili mkajipanga na plan B, C, D hata Z ikiwezekana? Yaani mlitegemea serikali itakaa tu kimya ili mambo yaende vizuri na taarifa zipatikane...
SERIKALI IWE MACHO SANA NA LISSU NA "WATU WAKE"!
Golf Mike Uniform!
Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani...
NAMNA YA KUJILINDA- HATUPO SALAMA.
NAMNA YA KUJILINDA HATUPO SALAMA
.1.Usipende kuwasha location ya simu yako kila mara.
2.Usipende kutembea mwenyewe nyakati za usiku.
3.Hakikisha kabla...