Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Bunge mtunga sheria anaajiri raia wa kigeni kuwa Msaidizi wake kwenye chama bila kibali, anampa Password yake ya Mitandao ya Kijamii anakuwa moderater wa account ya mitandao ya kijamii anatukana vya kutosha Serikali, halafu wanafanya mpango wanamficha baada ya siku tatu wanajitokeza kuwa katekwa.
Mwanasiasa anawatangazia Umma kuwa Msaidizi wangu raia wa kigeni katekwa na Vyombo vya Dola na Watanzania tunaanza porojo zetu na story zetu za kahawa kwenye social media.
Baada ya siku moja baadae ileile social media account iliyotutangazia kutekwa kwa Mkenya inajitokeza kututangazia mwenye account anaunga mkono Serikali ya Awamu ya tano na kuhusisha wanasiasa vijana mashuhuri ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Jioni yake mwenye account anajitokeza kwenye social media anadai waliyomteka msaidizi wake Mkenya Ndiyo waliyopost na Mkenya huyo anamiliki password ya account yake.
Hatujakaa sawa mwanasiasa anapiga simu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa anataka kwenda kutoa siri ya Watekaji make yeye ana taarifa ya Watekaji.
Sasa jiulize kwanini kama Zitto Kabwe ana taarifa ya Watekaji asipeleke kwa Mkuu wa Jeshi Polisi nchini au akafungue kesi mahakama Kuu?
Yaani unaenda kutoa Taarifa ya Watekaji kwa Mkuu wa Taasisi unayoituhumu kuteka siasa za bongo raha sana.
USHAURI KWA FAMILIA YA MKENYA.
Kwanza wampige Zitto Kabwe marufuku kutumia kutoonekana kwa huyu Mkenya kufanya sarakasi ya Kisiasa.
Suala la kumtafuta huyu Bwana Mkenya ifanywe na familia kwa kushirikiana na Ubalozi wa kenya hapa nchini.
Ili la mwanamke kuhusika inaweza isiwe na umuhimu sana lakini inawezekana pia Kwani haya mambo uwa yanatokea.
Kwakuwa Zitto Kabwe ametangazia Umma Jeshi la polisi isimkamate Kwasababu anachofanyaZitto ni kutaka kukamatwa na Vyombo vya Dola ili atoe mashtaka kwa Mabwana zake huko Germany.