kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,940
- 7,849
Tumewahi kuona clip za video zilizovuja wazungu wakiwa kwenye mikutano yao wakipanga namna Afrika inatakiwa kuwa eneo la vurugu mapigano na maafa kusudi wenyeji wabakie masikini.
Kwamba Maliasili za Afrika ili ziweze kuvunwa sawa na bure waafrika wasiruhusiwe kuzitumia au kuzivuna kwa maendeleo yao Kwa sababu wakiendelea watahitaji kutumia rasilmali zao na huku wazungu wanazihitaji.
Kwa hakika ni roho mbaya na za ubaguzi dhidi ya waafrika maana tumeona wachina wakiwa na sera ya kutaka waafrika wafaidike na kupata maendeleo kutokana na mali asili yao.
Wao wanaamini watu wakiendelea wanakuja na mahitaji zaidi Kwa hiyo biashara inakua kubwa zaidi duniani na kuwafaidisha wote.
Wazungu wanasambaza vita Afrika na wanatumia vibaraka kama Kagame mbabe wa vita vya kimbari ya kitutsi mwenye kuamini watutsi ni mbari iliyozaliwa kutawala wabantu kusambaza vita na vurugu.
Hapa kwetu tunasoma madai yasiyokua na tija ya chadema ya lissu kutaka kusimamisha uchaguzi. Hata mwenyewe Lissu anajua CHADEMA Haina uwezo kusimamisha uchaguzi Tanzania ila bila shaka kuna nguvu nyuma yake toka wale mabeberu wenye kuombea vurugu nchi zetu waweze kugawana na kuokota ngawira kirahisi huku tukigombana au tukipigana na kuuana wenyewe Kwa wenyewe