https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP
Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja...
Kijana ana vimbwanga sana
===
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) amehutubia maelfu ya Wananchi wa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga akiingia kwa staili...
20 February 2023
Arusha, Tanzania
Jaji Imani Daudi Aboud Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yenye makao yake Arusha.
Leo ameziasa nchi wanachama kutekeleza hukumu...
Lindi na Mtwara zina utajiri mkubwa sana wa Gesi na mazao ya Korosho
Wana Chokaa ya aina mbalimbali
Imewahi kutoa Mkuu wa Nchi
Imetoa Wabunge wa Upinzani kupitia Chadema na CUF
Kwanini Mikoa...
67% kuchangiwa na sekta Moja tu ya Bandari ni jambo jema sana
Hiyo 33% ikachangiwa na Sekta ya Utalii na Gesi
Tanganyika Tutakuwa kama Qatar
Tuombe uzima wa watoto na wajukuu zetu!
Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa maoni katika kongamano la kitaifa kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)...
Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa.........
Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani.
Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura...
Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya.
Picha hii hapa👇
Huku Tanzania;
Mwaka 2017...
Huyu bwana amejipanga kugombea ubunge uku Namtumbo. Ameanzisha kiredio chake kinaitwa Cite fm, Kila siku kinamsifia.
Kwa unyama uliomfanyia Mdude Nyangali, hatukutaki na hatutaki kuwa na...
Kwa matukio mabaya yaliyotokea viongozi wa Chadema na upinzani kwa muda mrefu,
Nilitegemea chama kikubwa Kama Chadema kiwe na intelligence yake ya Siri Sana Kwa viongozi na wanachama wake wenye...
Mwenyekiti wa Chama cha Kijamii CCK, David Daud Mwajojele, amesema uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji ulifanyika vizuri.
Soma pia: Uchaguzi 2020 Chama Cha Kijamii(CCK)...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimesoma na kuusoma Ujumbe Unaodaiwa kutoka kwa Tundu Lissu,Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ambaye yupo Ukonga Gerezani ambako anaendelea kushikiliwa kwa Makosa ya Uhaini...
Wakuu,
Hivi vyama vingine ndio navisikia leo. CCM E imewahi kujitokeza isije kukosa mgao wao!
Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam...
Mwaka 1964 wakati wa maasi ya Jeshi la Tanzania ( King's Ruffles Army) aliyekuwa Rais wa Tanzania aliomba msaada kwa Jeshi la Uingereza kuja kumuokoa ambapo Jeshi la Uingereza lilituma vikosi...
Nipo hapa BBC naangalia Veterans Day mashujaa wa WW2
Ndio nikakumbuka Sikukuu yetu muhimu ya Siku ya Uhuru
Kwanini ilifutwa? Au Shujaa aliamini ndio birthday ya Mwamba pia?
Duh hawa Waingereza...
Salaam,
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Muliro J. Muliro Leo tarehe 05 May 2025, ataongea na waandishi wa habari.
Kama hatongelea utekaji nashauri akae kimya tu.
Ndugu zetu wanapotea...
GT
Kwa kiufupi sana tunaweza kusema CCM imesha fail watu hawana matumaini kabisa na hiki chama. Pamoja na utitiri wa machawa kama comedians, Wanamuziki na vyombo vya habari lakini bado hawaelewi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.