Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Majadiliano ya Kidiplomasia kati ya Tanzania na Malawi yaliyofanikisha kusainiwa Tamko la Pamoja (Joint Communiqué) tarehe 2 Mei 2025 la kuendelea na biashara za bidhaa mbalimbali ikiwemo mazao ya...
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Serikali lazima itoe tamko kwenye hili jambo. Wenyewe wanaita Miradi Misonge ( Vertical Programs) , dawa na vifaa tiba chini ya hii miradi ipo kwa Ufadhili wa USAID kwa zaid ya 80%. ARVs, TB...
9 Reactions
119 Replies
4K Views
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 19 Mei 7, 2025 Orodha ya shughuli za leo; Hati za kuwasilisha mezani Maswali Hoja za serikali https://www.youtube.com/live/Z7LMt6ndXVk?si=u8pvAkprKa6Kt03l...
0 Reactions
1 Replies
585 Views
Hii hospitali ya Mnazi Mmoja ina umuhimu mkubwa sana jijini hasa kwa wananchi wa chini. Jamani uongozi mjitathmini. Watumishi wengi mno ni kama mko pale kupoteza muda. 1. Huduma ya madaktari...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Tulikuwa tunapata wakati mgumu anapofanya ziara kwenye maeneo yetu kwa sababu atakufahamuje bila kumsifia hata kiulaghai tu Wale Watangulia msafara waliomba kusikiliza nyimbo na ngonjera...
2 Reactions
4 Replies
319 Views
Kwamba kwa ajili ya haki tunabidi kuchagizwa kweli kweli na sasa kutokea nje ili Lissu awe huru, kina Mdude, Soka, Kipanya na wengine mlio nao kinyume cha ubinadamu wapatikane wakiwa hai...
0 Reactions
2 Replies
412 Views
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zaina Telack ameridhishwa na hatua ya ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam kinachojengwa Ngongo - Ruangwa Lindi ambapo upande wa Ngongo ujenzi umefikia 45% na...
0 Reactions
2 Replies
431 Views
Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani. Tukiangalia...
3 Reactions
13 Replies
858 Views
Kama mlivyosikia mahakama hatimaye dakika za jioni kabisa imekubali hoja za mawakili wa Lisu .. Sasa iko Hivi.. Serikali na Sisiemu sio wajinga kukubali mpira uende kati kizembe. Wanakuja na...
13 Reactions
64 Replies
5K Views
TEF yaonya waandishi wa habari kesi ya Lissu 02 May 2025 Picha: Mpigapicha Wetu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza na waandishi wa habari. Mwenyekiti...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Jina la chawa linalenga kuwarudisha nyuma wanaopongeza juhudi za serikali, kuipongeza serikali si dhambi - rais wa tahliso Sehemu ya Mahojiano ya Rais wa Tahliso Ndg Geofrey Kiliba na Waandishi...
0 Reactions
5 Replies
462 Views
Tuache unafiki. Suala la kudhibiti rushwa na ufisadi nchini Tanzania tumeshindwa – na hilo ni wazi kwa kila anayeangalia hali halisi bila miwani ya chama wala imani ya kisiasa. Taasisi ya...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
1) Siku Lissu anashinda kesi uchaguzi utakuwa umeshakaribia, hizo ni janja Janja za kijinga! 2) Pressure kutoka Bunge la ulaya kujadili swala la Lissu limewapa kiwewe Serikali, hivyo wameanza...
2 Reactions
1 Replies
565 Views
UTANGULIZI Wahemga walinena, Mficha maradhi kifo humuumbua…Kuendelea Kujaza Maji kwenye ndoo iliyotoboka huku ukifahamua kuwa hayatajaa ni ujinga. Mungu ametupa akili na ufahamu, na hii...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuanzia awamu ya 4 ya Mzee Kikwete Wasanii wamekuwa nguzo kubwa ya Siasa za Tanzania hasa baada ya Sugu aliyeaminika ni “ mvuta bangi” kuingia bungeni na kufanya vizuri kuwazidi maprofesa Siasa...
3 Reactions
11 Replies
542 Views
WAZIRI KOMBO AMPOKEA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO JIJINI ROMA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea Makama wa Rais wa Jamhuri ya...
2 Reactions
4 Replies
913 Views
Kwa Kinyakyusa, Mpoki ni sawa na neno la kiswahili linalotamkwa Mwokozi, Muokoaji au Tegemeo la Watu. Huyu Mpale Mpoki ndio Ingizo jipya ukilinganisha na ile timu iliyopambana kwenye kesi ya...
13 Reactions
18 Replies
2K Views
MAJAJI 10 WAMETEULIWA NA MAHAKIMU 91 WAMEAJIRIWA Katika kuongeza kasi ya utendaji kazi, Mahakama imeendelea kuongeza idadi ya Maafisa Mahakama. Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025 jumla ya Majaji 10...
0 Reactions
4 Replies
567 Views
Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni leo Jumanne Mei 6, 2025 amekuwa mbunge wa kwanza kusikika akipinga bajeti ya Serikali kwa madai ya kuchoshwa na uongo. Mageni ameipinga bajeti ya Wizara ya...
1 Reactions
7 Replies
643 Views
Back
Top Bottom