Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM inajitahidi kukatisha tamaa watanzania (discourage) juu ya matumizi ya mitandao kama njia sahihi na muhimu ya kuitoa CCM madarakani. CCM wana msemo wao wa "watu wa mitandaoni" kuelezea au...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Nukuu; 1. Bora kuadhibiwa kwa kusema ukweli, 2. kiongozi usitimie mamlaka kwa kulazimisha watu kufuata matakwa yako binafsi. Wapo Dr. Mpango na RC Dar Es Salaam.
44 Reactions
158 Replies
7K Views
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi anatakiwa kukifutia usajili wa kudumu mara moja chama cha mapinduzi (ccm), ni baada ya kuonyesha dalili za kuvuruga amani ya nchi. Kuna kila...
4 Reactions
2 Replies
336 Views
Baada ya Shambulio la KITIMA , RPC Muliro akajiwahi kutoa Taarifa yenye lengo la kupotosha . Baada ya Shambulio la Mdude, RPC Mbeya akajiwahi nayeye kutoa tamko kwamba hawajamkamata Mdude. Sasa...
4 Reactions
9 Replies
798 Views
Mfumo wa Tanzania umekita mizizi kwenye dola na mihimili mikuu ya nchi. Mageuzi hayawezekani kirahisi kama kwa majirani zetu. Nchi inaongozwa zaidi na mfumo kuliko watu UONGOZI WA MIKOA / WILAYA...
4 Reactions
13 Replies
829 Views
IGP Kenya . IGP Zambia IGP Uganda IGP Tanzania. Malawi IGP Rwanda IGP Rwanda Burundi IGP DRC IGP DRC Ukitazama hizo picha kuna jibu linakukia kuhusu aina ya Viongozi tulio nao hii...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Juzi mmekatisha uhai wa Boss wa TANESCO Leo tena mmesababisha vifo vya maboss zetu kwa ajali Dakawa. Hali hii itaendelea mpaka lini?
8 Reactions
80 Replies
5K Views
Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma. Mimi kama mimi naona hakina faida hata...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Inawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara...
11 Reactions
42 Replies
2K Views
Najiuliza mbona shekhe Yahya alipotabili kifo Cha kiongoZi mkubwa wa awamu ya Tano hakukamatwa? Lipo kosa la aliyetabili yakuwa siku za FAZA kitima zinahesabika na kweli kashambuliwa alimanusura...
0 Reactions
8 Replies
700 Views
Katika wale watanzania ambao watapiga Kura kukuchagua wewe basi na Mimi ni mmoja wapo kukuchagua wewe Rais wangu Mama yetu mlezi Samia Suluhu Hassan. Sio uchawa Ila nimezaliwa ndani ya Chama Cha...
0 Reactions
7 Replies
407 Views
"...mtandao wa Tiktok ndio mtandao pendwa wa watoto wetu wanafunzi, lakini ndio mtandao unaoongoza kwa maudhui mabaya, nini mkakati wa Serikali kuhakikisha wanadhibiti mtandao huu ili kunusuru...
2 Reactions
11 Replies
621 Views
Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23? Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda...
16 Reactions
127 Replies
6K Views
Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Je tuna jeshi hapa au ? Lazima tujiulize inakuwaje jeshi letu limeshidwa kirahisi na M23. Je tuna uhakika gani kama kundi dogo kama M23 likiingia Tanzania jeshi letu liko tayari na uwezo wa kisasa...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Tunahitaji kuwa na uhakika ili kuweza kujipanga kwa hatua zetu za baadaye, iwe ni kusuka au kunyoa nywele zetu. Tunayo imani na CHADEMA ambayo ina misimamo ifuatayo: 1. Kipaumbele chao ni...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Luka 13:32 Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilisha kazi yangu. Hakuna aliye juu ya sheria za Mungu na Kiongozi...
3 Reactions
15 Replies
948 Views
Hatimaye PPP ya David Kafulila iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria namba 103 ya mwaka 2010 na kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2014, 2018 na 2023 sasa rasmi imeanza kuzaa matunda chanya...
40 Reactions
292 Replies
23K Views
Back
Top Bottom