Ndugu zanguni, katika kipindi cha hivi karibuni sote tumeshuhudia matukio ya KUOGOPESHA yakiendelee nchini. Kwa uchache tu, kupotea kwa vijana walioonekana kuikosoa serikali kama Ben Saanane na...
Wakuu,
Katika aliyepewa tuzo pale kuna ataweka kitu ambacho kinaenda kinyume na Rais ama jambo la wapinzani ambalo wanajua litamkera Rais?
Mwananchi/The Citizen ikanyamazishwa shwaaaa na milioni...
Habari ya Leo wanajamvi...
Naomba kueleweshwa faida ya Lissu kutetewa na mawakili Vs Kama atajitetea mwenyewe.
Kwa mtazamo wangu, naona kama Lissu atajitetea mwenyewe na mawakili wakajitoa, hii...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo May 05,2025 ameongoza Wadau mbalimbali kwenye ugawaji wa Tuzo za umahiri kwa Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari Tanzania, zilizoandaliwa na...
Kwa muktadha wa katiba maswala ya kidemokrasia yamewekewa utaratibu katika katiba.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaweka wazi namna maswala ya demokrasia yanavyotakiwa...
Ukifuatilia Charls Kimei bungeni michango yake huwa ana hoja sana huwezi mlinganisha na wakina Abood ambao kwanza hawaongeagi au wakina Kibajaji ambao wanaongea utumbo na still jimboni kuna...
Tumeleta uzi huu ili kuweka mambo sawa na labda ili tuiambie Dunia kama kweli Walichofanya Polisi wa Tanzania, wenye kashfa ya kutumikishwa kuumiza Wapinzani hata na Katibu wa Tawi wa ccm ni...
Miaka yote sijawahi kuona Ccm mkiandikisha wanachama wenu kwa kuwataka waje na kadi ya mpiga kura wazi wazi kama sasa,kunauhusiano gani wa kusajili wanachama wenu ili waoate kadi za ccm hadi waje...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumanne Mei 06.2025 kwa ajili ya kutajwa
Akizungumza mbele ya...
Kilio cha Wanawake na Wanaharakati wa kutetea haki za wanawake kuhusu dhamana ya gharama za fedha za uchukuaji wa fomu, kugombea nafasi ya urais,uwakilishi na udiwani katika Tume ya Uchaguzi...
Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa...
YAH: MALALAMIKO DHIDI YA KAULI NA AGIZO BATILI LA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI - UNGUJA, NDUGU IDRISA KITWANA MUSTAFA
Tafadhali ninaomba uhusike na mada tajwa hapo juu kama inavyojieleza...
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili amechukua rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama hicho.
Zitto amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu...
Simanjiro kule kumeisha anza kuchangamka, Mwarabu kaanza kukabidhiwa mapema sana maeneo.
Hata sakata la Olesendeka kutaka kupigwa risasi lilikuwa na uhusiano na sakata la Pori la akiba kule...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, amesema chama hicho kinapiga hatua kubwa kwa kasi isiyopimika, huku akidai kuwa serikali kwa kukosa utashi wa kisiasa wa...
Wakuu,
Hii ni video nimekutana nayo huko mtandaoni yaani X ambapo wakala huyu wa CHADEMA alikutana na mwanafunzi huyu wa miaka 16 akiwa anataka kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Baada...
ACT wazalendo wameamuwa kushiriki uchaguzi bila kuwepo kwa mabadiliko yoyote yaliyofikiwa hadi sasa ya kiuchaguzi ili kuifikia haki hiyo ya uchaguzi kuwa huru na wa haki kama wanavyo hubiri kwenye...
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama katika ziara yake ya Mkoani Dodoma ametembelea na kukagua ujenzi wa nyumba ya Katibu na kuchangia tofali 500 na mifuko 10 ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.