Wananchi Wapinga Uwekaji wa Meza za Wamachinga Mtaa wa Kongo

Wananchi Wapinga Uwekaji wa Meza za Wamachinga Mtaa wa Kongo

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,001
Reaction score
6,772
Taharuki imerukibuka mapema asubuhi ya jana Julai 26, 2025 katika Mtaa wa Kongo Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, baada ya wananchi wa eneo hilo kugomea zoezi la kupangwa meza za wafanyabiashara ndogondogo maarufu wamachinga kipande cha kutoka Mtaa wa Uhuru hadi Mtaa wa Mbaruku Zoezi hilo ambalo limezua taharuki, limedaiwa kutoshirikisha wakazi wa mtaa huo wakiwemo wafanyabiashara wenye maduka, madereva wa gari ndogo za mizigo maarufu Carry pamoja na kituo cha Bajaj.
 
Back
Top Bottom