Ndugu zangu Watanzania,
Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani...
Kupitia mijadala mbalimbali na hasa baada ya TAML kukamatwa na kufunguliwa shitaka la uhaini kumekua na mijadala mingi sana na nilichogundua ni kwamba watu wengi hawajielekezi kwenye kanuni za...
Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi...
Fighting for Tanzania
"Fighting for Tanzania" ni nini ?
ni uhamasishaji wa mabadiliko chanya kwenye nchi na kupinga vikali matukio ya kiuhalifu na utekaji, matukio yote ya uvunjifu wa haki za...
Wakuu, Uchaguzi mkuu utagharimu mabilioni ya walipa kodi katika nyakati ambazo wananchi wanakosa dawa hospitalini na watoto kukalia dawati shuleni ni utajiri.
Kwahiyo maigizo ya 4R (cosmetics...
Uongozi sio cheo ni uwezo wa kuelewa unachoambiwa, kuchambua, kupima na kuhudumia.
Hotoba ya jana ni kama alikuwa anaviambia vyombo vya dola hadharani nisaidieni mimi nimeshindwa.
Kama amiri...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kigamboni, jijini Dar es Salaam, kimekemea na kulaani vikali vitendo vya baadhi ya watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kuanza kampeni kabla ya wakati...
Mkisikia Samia anasema nalinda nchi, mwambieni hulindi nchi bali unajilinda wewe mwenyewe.
Huwezi kukaa unatuambia unatulinda Watanzania, unalinda nchi wakati watoto wetu na ndugu zetu wanatekwa...
Nchi ya Tanzania inapitia kipindi kigumu sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote. Kelele, vilio, malalamiko na majonzi yametanda kila sehemu na wengi wakiwa na wasiwasi kama watakuwa salama...
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda leo Jumanne May 20, 2025 ameungana na Watanzania wengine kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye kituo cha Hospitali ya AICC...
Aliyekuwa Katibu wa Chama cha ACT Wazalendo Wilaya ya Songea, Bi Grace Mallya, tarehe 19/5/2025 ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Husna Sungura, ameahidi kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi wa Jimbo la Chamanzi endapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo hilo katika...
Walijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....
Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh...
Mwaka juzi wa 2019 Mwezi November, JF Member My Son drink water aliwahi kusema kwamba "Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania, nashukuru Mungu tena dakika za mwisho TISS...
Katika dunia ya leo, suala la haki na amani lina umuhimu mkubwa katika maisha ya binadamu. Haki na amani ni misingi miwili muhimu ambayo inapaswa kutekelezwa kwa usawa ili kuhakikisha maendeleo...
Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA.
"Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba...
Tangu jana, mara baada ya Wakili Tundu A.M. Lissu kutangaza kugombea uenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, kumekuwa na 'kuwapambanisha' Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe na Lissu kwenye uchaguzi wa...
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii...
Roma Mkatoliki na wasanii wenzake kuongea na waandishi wa habari leo saa nane mchana katika Ukumbi wa Habari Maelezo, Posta Mpya, Dar.
==========
UPDATES
Mwakyembe akiongea na kujibu maswali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.