Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila kitu Kiko wazi, RC Mbeya aache kutoa Kauli za kihuni , Et Milion 5 Kwa atakayemleta Mdude akiwa Hai au Amekufa??. Kwa tafasiri ya kawaida, ni Kauli inayoonyesha Mdude hatopatikana . Sasa...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Jana Jumapili Mei 11,2025 wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi...
0 Reactions
5 Replies
565 Views
== Katika hotuba yake bora ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025...
28 Reactions
104 Replies
5K Views
Kijana wa Kenya aliyekuwa Deported aliyekuwa kaambatana na Jaji mutunga amtishia Samia kwa kumpa amri atake asitake aachilie wakenya wanaoshikiliwa Ni huyo anayeongea kiswahili...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema: “Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi...
16 Reactions
29 Replies
5K Views
Nawakumbusha kitu kimoja tu, and this is very important. Hata hao mnaojivunia , kuna wengi wao hawapendi haya maonevu yanayoendelea. Naomba sana malaika awatokee mbadilike.....ukiangalia...
0 Reactions
5 Replies
328 Views
Taarifa za Mdude_Nyagali mwana JamiiForum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba Mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Mbunge Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba. 1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku 2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi 3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa 4...
2 Reactions
1 Replies
320 Views
Hizi sarakazi zote mnazoziona hazipo kwa maslahi ya Taifa wa maslahi ya chama( CCM ) bali ni kwa maslahi ya wahujumu na wezi wanao linda mali na mianya yao isibugudhiwe na ndio maana kwanza...
4 Reactions
7 Replies
457 Views
MAAZIMIO YA IDU JUU YA HALI MBOVU NA HATARI YA SIASA TANZANIA Umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani (IDU) ulihitimisha mfululizo wa mikutano yake kwa mkutano mkuu uliofanyika tarehe 16.05.2025...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Hali inaendelea kuwa mbaya kwa upande wa CHADEMA. Leo ni zamu ya Mkoa wa Songwe.Viongozi na wafuasi wapatao 24 wamejivua uamachama. Baadhi ya Viongozi wa CHADEMA ikiwemo Mjumbe wa Mkutano Mkuu...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesisitiza Sera ya chama hicho ya Lishe maarufu Ubwabwa akisema Taifa lisilo na lishe haliwezi kujiletea maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Wakuu hizi ni sababu kadhaa za kuaminika na zimefanyiwa kazi kwanini CCM watashinda kila wakati 1. Aina ya wapiga kura. Hii ni sababu mojawapo, vijana wengi na wasomi ambao pengine ndio wangeweza...
1 Reactions
7 Replies
429 Views
Nimepenyezewa taarifa na mbunge mmoja wa Covid-19 mkoa wa Singida muda huu. Ngoja tuone.
4 Reactions
34 Replies
2K Views
.CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CHAUMA ambaye kitaaluma ni Mwanasheria na ni Wakili wa Kujitegemea mzee Hashimu Rungwe amesema hakuna sababu ya kushiriki Uchaguzi endapo Tume Huru ya Uchaguzi haitapatikana...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Ikumbukwe hata CHAUMMA imezaliwa na NCCR Mageuzi kama ambavyo ACT Wazalendo ilivyozaliwa na CHADEMA Mbowe angewatanguliza akina Mrema Nccr mageuzi kule Chadema amepotezwa kwa makusudi kabisa...
0 Reactions
35 Replies
782 Views
Kiukweli naandika kwa uchungu sana naandika kwa maumivu sana our intelligence unit mna failed ktk kuikinda hii nchi na high brid war warfare. Naandika nikiwa kama Raia ila najiona kuwa na uwezo...
15 Reactions
35 Replies
3K Views
Nina tumaini wote tu wazima wa afya, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Matukio yanaendelea nchini Tanzania, hasa katika kipindi hiki tunapoelekea uchaguzi; mambo mengi ni meusi...
3 Reactions
3 Replies
481 Views
Kama kuna mtu ndani ya CHADEMA mwenye uwezo wa kuwa Rais na kuleta mabadiliko ya kweli, basi ni John Heche. Anaongea mambo ya msingi sana hoja zake ni za kisiasa, zenye uzito, na zinawagusa...
1 Reactions
11 Replies
763 Views
Back
Top Bottom