Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya...
Kwako rais Samia:
Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia.
Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu.
Utakuwa mgeni wa nani kwa...
Radi ya kisiasa sasa inashushwa kwa mahesabu. Si radi ya anga, bali ni ile inayopigwa kutoka maabara za mikakati—ambapo lengo si kuangaza, bali kuchoma. Maji yaliyowahi kuchemshwa yanarudishwa...
Salaam!
Kwa wajuvi wa kuunga dots, hebu tujaribu kuchakata jambo hili.
Mlinzi wa Mh Mbowe SI mwanasiasa, ni komandoo mstaafu,
Sasa mkubwa akitaka kufanya ziara Magu kwa mfano, nani hutangulia...
Now, 2025!
Tanzania's President Samia Suluhu has defended the recent deportation of some high-profile Kenyan nationals, accusing unnamed foreign activists of attempting to destabilise the...
Watu wengi waliohudhuria kesi ya Lissu leo walijielekeza kumuangalia Lissu Mwenyewe na viongozi wa Chadema, labda na yale mabunduki ya Vitisho waliyobeba Polisi.
Lakini kama Kawaida yetu sisi...
It has been a tradition to relish the festival and celebrate the founders of our Union Mwalimu Nyerere and Abeid Karume to parades. However, it has been a sin, too dangerous for anyone to question...
Wakati Nasoma Medicine kama undergraduate , niliamini Human anatomy ni one of the most complex areas of study in medicine ——The interconnected systems working together is a mythical thing...
Wakuu,
Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye hili sakata la Tanzania na Kenya. Yaani inaonekana kuwa Serikali ya Kenya ime-align na serikali ya Tanzania kwenye hili suala la CHADEMA na Martha...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba mpango wa Chaumma kulipiwa Ukumbi pale Golden Tulip ili wafanye Mkutano wao tarehe 19 May, kwa lengo la kuwapokea Mamluki waliotoka Chadema, waliojiita G55, Ulikuwa...
UJENZI WA BARABARA ZA LAMI KATA YA BIHARAMULO MJINI.
Kuna kazi ya kasi bado inaendelea kutekelezwa jimboni biharamulo kata ya biharamulo mjini kuakikisha barabara zote za mjini zinajengwa kwa...
Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST
1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9...
John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu
"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi...
Mzee Pascally Mayalla shikmoo!
Mzee mshana Mzee wa mizimu kama Yerrico Nyerere shwanga bwa shee?
Ninaomba ufafanuzi kidgo,
Tarehe ya Leo ameskika Rais wetu kipenzi chetu, mama la Wana akitoa...
Mchawi wa yote haya ni mwenyekiti wa muda mrefu wa Chama kikuu cha Upinzani kushindwa kukubali matokeo ya kushindwa Uchaguzi wa Mwenyekiti
Mbowe angekubali matokeo ya Uchaguzi kwa moyo mkunjufu...
Kwa hapa tulipofikia chunga sana maneno yako, be soft but hit the point! Carefully choose your words during mikutano yako. Likewise, kwa wenzako!
Wanakulia timing wakuweke ndani mapaka uchaguzi...
https://www.youtube.com/live/9TLDeGzo4I4?si=2c8MZ_S_QZrJKEBl
Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Mei 19.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti...
Hivi kwanini wanaharakati wa Kenya wanahangaika sana na mambo ya ndani ya siasa za Tanzania wakati Tanzania hatuhangaiki na zao?
Nashangaa Alianza Martha Karua na timu yake kaja tena jaji mkuu...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wananchi kuwa makini na kauli zinazotolewa na watu mbalimbali kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, akisisitiza...
Ndugu zangu Watanzania,
Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.