Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Yule Mwamba wa siasa za Kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu , Freeman Mbowe , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama kikubwa zaidi na kinachoungwa mkono na...
8 Reactions
68 Replies
2K Views
Kikwete ni kama anamshangaa leo Samia hasa aliposema Tanzania sio shamba la bibi! Kikwete naona alikuwa anamshangaa Mama maana anajiuliza huyu Mama mpaka leo hajui kwamba Lissu hawezekani...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Wakuu, Moja ya matukio yaliyonishangaza jana kwenye kesi ya Lissu pale Kisutu ni baadhi ya polisi kuvaa mask kama za majambazi ambao hawataki kujulikana sura zao! Nilijiuliza mengi sikupata...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku Msukuma amvaa Martha Karua kwa madai ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania huku akisema "ningekuwa askari ningekuwa na maamuzi magumu zaidi...
3 Reactions
16 Replies
930 Views
Vyombo vya Ulinzi visionee aibu hawa nyang'au ambao wanajidai wanajua Kingereza huku kichwani ni empty head. Kama jana waliweza kusafirishwa kwa Wingi kuja kisutu bila shaka watakuja sana au...
1 Reactions
4 Replies
319 Views
Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.
8 Reactions
63 Replies
7K Views
Tanzania haina dini lakini watu wake wanazo dini zao. Angalia dini yako kama haya anayosema Lissu ni kweli au uongo: Ni kweli kura za wapinzani zinaibiwa, hata Nape kaeleza namna zinavyoibwa...
5 Reactions
10 Replies
553 Views
Sitaki kurudia rudia kile ambacho kila mtu tayari anakifahamu. Lakini tukumbushane tu jinsi Taifa letu lilivyopata heshima kubwa Afrika na Dunia nzima wakati wa hayati Mwl Nyerere na Wakati wa Mh...
2 Reactions
5 Replies
468 Views
Naomba kuuliza kwa wana CCM wenzengu,nimesikia Jonh Heche anasema Mama pamoja na serikali ya CCM wamewapa Oman misitu yetu ya Tanzania nzima, wao na serikali yao ya Oman wanalipwa pesa nyingi sana...
0 Reactions
9 Replies
563 Views
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Kenya Mh Noordin Haji ameliambia Bunge kuwa Kenya inatishio la ugaidi katika mipaka yake yote isipokuwa ule wa Tanzania tu kwa sababu majirani hao ni nchi ya...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwenye kesi ya mheshimiwa Tundu Lissu Leo akiwa mahakamani kila mtu ana lake ambalo amelishika na kujifunza. Tumesikia mengi lakini Muhimu kwangu ni Maneno mazito kama hayo. Aligeukia Halaiki na...
29 Reactions
67 Replies
4K Views
Mkiendekeza maagizo ya wanasiasa na ushauli kama ule wa Sheihk mkuu kwenye sikukuu ya Idd uliofatiwa na kukamatwa kwa Lissu na Kushambuliwa kwa Katibu wa tec Fr Kitima, mtaua wengi mpaka...
2 Reactions
10 Replies
541 Views
Mpango aliona haendani kabisa na Ukatili unaofanywa kwa watanganyika wenzie. Ameamua kujiweka pembeni kuepusha msongamano.
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Siasa za Bongo sasa zimebebwa na chama kimoja tuu Mijadala ya kisiasa kwasasa imetawaliwa na chama kimoja tuu Matukio ya kisiasa Bongo yote kwasasa yote ni ya chama kimoja tuu Mitandao ya kijamii...
25 Reactions
56 Replies
3K Views
Aliyewahi kuwa mgombea urais na kufanikiwa kushinda uchaguzi mihula miwili yenye jumla ya miaka 10 alisema kwa mdomo wake kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi huku naye ni mnufaika wa irais bila...
2 Reactions
5 Replies
485 Views
Tundu Lissu alipokuwa bungeni alikuwa machachari, mwenye kuibua hoja nzito na kuhoji bila woga linapokuja suala la maslahi ya wananchi. Safari yake bungeni ilikomeshwa mwaka 2017 baada ya...
3 Reactions
11 Replies
774 Views
Watawala, pamoja na jeshi la polisi, siku zote wamekuwa wakipenda kutoa kauli kuwa: 1. Tii sheria bila shuruti. 2. Hakuna uhuru usio na mipaka Jambo la kujiuliza, hawa wanaotoa hizi kauli ambazo...
13 Reactions
21 Replies
1K Views
Kupitia mjadala Wakili amesema Mbowe alikimbilia Kenya na kuomba hifadhi baada ya Uchaguzi wa 2020 Tundu Lisu alihifadhiwa baada ya kupigwa risasi nyingi Na Lema alipata hifadhi kabla...
0 Reactions
5 Replies
391 Views
Back
Top Bottom