Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

♦️Adai watetezi wa haki za binadamu hawajawahi tetea japo haki moja wakafanikiwa. ♦️Amtaka Karua na wenzie kutetea haki za waKenya kwanza. ♦️Pia akumbushia Karua alivyoshiriki kuwadhulimu waKenya...
0 Reactions
1 Replies
260 Views
Hata kama siyo wote , lakini wengi wataweza kuelewa wakiona mtuhumiwa ameamua kubadilika toka moyoni! Fikiri, kwa mfano, alkijitokeza na kusema, "Ndugu Watanzania wenzangu, naomba mnisamehe...
1 Reactions
6 Replies
626 Views
John Mnyika Leo katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii kuna kipande cha wimbo unaoitwa Godbless Lema Usiogope kinasambaa sana. Napendekeza wimbo ule urekodiwe tena na kuwekwa maneno ya...
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Msiseme hamkusikia lkn habari ndiyo, mpaka mwaka 2026 > 50% ya ardhi ya Tanzania ( bila visiwani pemba na unguja ofcourse) kuwa hifadhi, kwa ambao hilo neno litawatatiza na kuweza kurelate maana...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanabodi, Declaration of interest. Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niliomba fomu kupitia CCM kuomba kupitishwa kugombea ubunge wa jimbo la Kawe, kwa tiketi ya CCM, ila watu...
36 Reactions
103 Replies
10K Views
Nchi Yetu Tanzania Kupitia Katiba yetu tumeruhusu mfumo wa Vyama vingi na Uchaguzi wa Kwanza wa Mfumo wa Vyama vingi tumeanza 1995 Toka miaka hiyo tumeshuhudia minyukano ya kisera na kiitikadi...
1 Reactions
11 Replies
542 Views
Siasa zetu hazija komaa, Hii tusidanganyane mtu Ukisema ukweli wewe ni adui, Siasa za aina hii ifike mahali Zikome sisi ndugu malumbano Ya kisiasa ya nn?na nyie viongozi Naomba busara itumike...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Jimbo la Kawe limekuwa likiongozwa na CHADEMA kwa zaidi ya miaka kumi sasa chini ya Mbunge Halima Mdee. Ki ukweli pasi na shaka yoyote sijaona juhudi zozote za Mbunge kupeleka hoja yoyote Bungeni...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu jf amani ya Mungu ikawe juu yenu, nawatakia mema katika mfungo wa ramadhani/ kwaresma kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada Tajwa hapo juu. Tangu jana zimekuepo taarifa ,kwamba PSSF...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
JamiiForums imemtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Kaster Ngonyani kuhusiana na tukio hilo ambapo amesema "Ndio ni kweli, taarifa za tukio hilo...
14 Reactions
145 Replies
10K Views
Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wakiwemo Wenyeviti wa Mikoa wameungana kwa sauti moja kulaani vikali kile walichokiita vitendo vya baadhi ya wanaharakati na...
1 Reactions
3 Replies
385 Views
Kwenu Wanajema, Huu ni uzi mchungu kwa wanaCCM wengi vitatange, kwa sababu nagusia anguko la CCM ambalo nimelichambua na kuliona. **** Picha ya George Soros Kwa wafuatiliaji wa medani za nchi...
36 Reactions
69 Replies
5K Views
Je Unadhani Wabobezi wa Kizalendo wakiunda Tume ya Kijaji hawawezi kuchunguza Haya mambo ya kuteka na kuuwa? Ni lazima kuwaita Scotland Yard kwa jambo kama hili Katika miaka 60 ya Majeshi yetu...
2 Reactions
60 Replies
3K Views
Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?" Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA...
1 Reactions
10 Replies
713 Views
Lahana lahana karma is bitch Mbunge pekee aliyeitambulisha kawe kwenye ulimwengu wa kisiasa Jimbo la kawe ni Mh Halima Mdee, baada hapo Jimbo lilirudi MIKONONI MWA mangariba ambayo yalibeba kwa...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Sijui hata inaandikwaje. Ni Sukuma Gang, Sukuma gang, au Sukumagang? Mtajaza wenyewe. Wangapi wengine mmegundua kama mimi kuwa huo msamiati sasa hautumiki tena? Kuna kipindi humu baadhi ya...
38 Reactions
65 Replies
3K Views
Watanzania wote kwa ujumla, tunakutana Dodoma kwenye jambo kubwa linalofanywa na chama kikubwa, CHAMA CHA MAPINDUZI. Ni mkutano mkuu wa CCM unaokwenda kujadili na kuipitisha ilani ya Uchaguzi ya...
0 Reactions
10 Replies
595 Views
Tanzania tour vans barred from JKIA and all parks The Tourism ministry said on Friday that the move was a bid to implement the 1985 bilateral agreement to ensure fairness of trade between Kenya...
10 Reactions
111 Replies
19K Views
Hizi ndo sababu zangu kwamba this guy is patriotic (Mzalendo). Kwa nafasi aliyonayo Gwajima kuanzia Kijamii, kisiasa, kiuchumi. Sifikirii Kama anatafuta umaarufu , na sifikirii Kama anatufa...
8 Reactions
20 Replies
942 Views
Tunampenda ila itoshe kusema ahsante . Kuwa kiongozi nikuwa sauti ya Mungu , naona sauti ya umungu kwake nikama imekaushwa na vilio vya kila pembe ya Tanzania. Sisi kama wanaccm kunawakati huwa...
28 Reactions
48 Replies
3K Views
Back
Top Bottom