Hili ni kuhusu kuchaguliwa kwa Papa Leo wa Kumi na Nne, kutoka kwa Jaji mmoja nchini Kenya ambaye si Mkatoliki.
Hon. Jaji Aggrey
Kuna aina ya hekima isiyopiga kelele. Haijitafutii umaarufu...
Nina mifano mingi.. Lakini kuwa na subra na kufuata utaratibu daima humpa mtu matokeo bora tena kwa wivu mkubwa Sana
Subiri wakati sahihi ufike ndio ufanye jambo lako kwa utaratibu uliowekwa...
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa...
Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai...
Huu ni wimbo maarufu, zamani ulikuwa ukiimbwa na wanaCCM kuahidi kuilinda CCM mpaka siku ya kifo chao. Baadae CHADEMA nao wakauchukua ukawa ni miongoni mwa nyimbo maarufu za chama, wakiapa na...
Watanzania wameshindwa kuwaunga mkono upinzani kwa kuwa hakuna chama cha upinzani nchini kilichojitanabaisha na mrengo au muelekeo flani .
Yaani hawana ideology ambayo mwananchi anaweza...
uasi = rebellion
A rebellion is a violent organized action by a large group of people who are trying to change their country's political system.
Rebellion: When a group of people openly and...
Wanabodi,
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa...
Katika kile kinachoonekana kuwa ni jaribio la kutangaza ushindi wa kisiasa, baadhi ya wanachama wa CCM wametamba kwamba wamefanikiwa kuibomoa CHADEMA. Hata hivyo, takwimu halisi za mwelekeo wa...
Kazi mliyotumwa ya kuifubaza CUF mliifanya kwa weledi mkubwa sana kiasi kwamba kwasasa CUF si lolote si chochote mbele ya siasa za Tanganyika nachelea kusema na visiwani pia..!
Vema msijisahau...
Salam wana JF,
Nimekuwa na swali linalonipa maswali Mengi kila Kukicha.
Tukiachana na Michango ya wanachama, Wahisani wa ndani, wafanyabiashara n.k
Je! Vyama vyetu vya Siasa vinapata wapi Pesa...
CHADEMA Haina mbunge wala diwani ni sawa tu na vyama vingine kama CHAUMMA,ADC au CUF.Msijigambe sana kuwa ninyi ni chama kikuu Cha upinzani.Nawaonya kuzuia uchaguzi kamwe hamuwezi na msijaribu...
Letter from Birmingham Jail
The "Letter from Birmingham Jail", also known as the "Letter from Birmingham City Jail" and "The Negro Is Your Brother", is an open letter written on April 16, 1963...
CCM inazidi kuumbuliwa mchana kweupe na kuzidi kuipandisha chart CHADEMA.
Akiwa Beijing, China kwa ziara ya siku 5, raisi wa Kenya amenukuliwa akisema kwama "Tofauti yetu na majirani zetu ni...
Kuna tafsiri nyingi ya neno hili lakini tafsiri hutofautiana kutokana na mtu anayelitamka.
Kuvuruga amani maana yake ni kitendo cha kuwafungua akili wananchi na kuwaeleza kuwa rasilimali zenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.