Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo...
58 Reactions
277 Replies
15K Views
Wakuu, Jerry Muro kwenye press amesema kuwa Gwajima anatakiwa arudi kwa Dkt Slaa amuulize yaliyomo kwenye kitabu chake cha nyuma ya pazia. Muro amesema kuwa hata Dkt Slaa alishawahi sema kuwa...
0 Reactions
8 Replies
631 Views
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa vitendo na kuhakikisha kuwa amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Jerry Muro naona huelewi kama hakuna mwekezaji anaweza kwenda kufanya uwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana.
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Ndio maana hata viti maalum vinapigwa vita, maana wakipewa 99% wanakuwa manyumbu, kuongea ujinga mradi waendelee kubaki kwenye viti hivyo. Mkitaka kujua nani ni manyumbu bungeni angalia tu hao...
0 Reactions
2 Replies
506 Views
Faraja Mathew , mwanachama wa Chadema aliyefungwa Jela kwa miaka 30 kutokana na Tuhuma za uongo za unyang'anyi alizotengenezewa na DC wa Ikungi Jerry Muro, alihukumiwa kifungo hicho na Mahakama ya...
45 Reactions
137 Replies
12K Views
Rais Samia yupo Madarakani Miaka Mitano hata akishinda, atatoka madarakani. Hiki kikundi kilichoundwa kwenye Uongozi wake, tuungane kama Nchi kukiangamiza. Uongozi wa Samia utaisha ukiacha...
3 Reactions
8 Replies
583 Views
John Heche ameeleza kuwa kama msimamo wa kuzuia uchaguzi upo pale pale na kama CHADEMA haitokuwepo kwenye karatasi ya kupigia kura basi hakuna mtu atakayeenda kupiga kura Aidha ameeleza kuwa ni...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Umuofia Kwenu wana JF, Nimejaribu kupitia link karibu tatu zilizorusha Stream ya Askofu Gwajima ,Zote zimefutwa. Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe...
21 Reactions
86 Replies
10K Views
Nimekuwa nimtafakari sana, na huko nyuma niliona hili likija, na hata nikaandika usi humu JF, kwamba msimamo wa Rais Samia na CCM kuhusu kubadili kanuni za uchaguzi unaligawanya taifa na hali...
13 Reactions
34 Replies
2K Views
Diwani wa Kiwere, Felix Waya, amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025, baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo...
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Habari za Leo! Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu. Swali, je wanaharakati hao...
1 Reactions
39 Replies
1K Views
Kwa hali ya upepo na yale nayaona kuna kila dalili NEC ika kaa huku ikumuenguwa MNEC mmoja japo itakuwa kasheshe sana let pray for Nation kaz ni nzito sana.
5 Reactions
27 Replies
2K Views
TAFAKURI YA KIJASUSI YA KAULI YA ASKOFU GWAJIMA MEI 24, 2025 Na: Steven Mmbogo Mei 24, 2025 (Soma kwa umakini mkubwa) 1. Utangulizi wa Kiintelijensia (Intelligence Framing) Kauli ya Askofu...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Moja ya mambo yanayorudisha nyuma mabadiliko ya kisiasa ni watu kufuatilia sana mambo ya mpira wa miguu. Simba angechukua kombe uko uwanja wa Aman, watu wangeongelea tukio hili kwa muda mrefu...
18 Reactions
41 Replies
2K Views
Kuna habari nimepata kuwa kuna kikao kimeitishwa leo saa 4 kwa dharura kuangalia namna ya kumjibu au ku deal na Gwajima. Katika maongezi ya simu mtu mmoja alisikika akisema wanahitaji utulivu...
51 Reactions
151 Replies
12K Views
Katika kipindi hiki si jambo la kushangaza kuona wanasiasa wakijaribu kujipatia umaarufu kupitia propaganda, hofu na siasa za mihemko. Kauli za John Heche na Josephat Gwajima zinaangukia hapa...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Mbunge Felista Deogratius Njau akituzwa pesa leo Jumatatu, Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma baada ya kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha...
0 Reactions
3 Replies
567 Views
Tunapofikiria reforms za mifumo yetu ya uchaguzi, sisi kama wananchi ni vyema kwenda mbele zaidi ya agenda ya reform kama zinavyodaiwa na wanasiasa. Si puuzi umuhimu wa hoja za uenguaji wa...
1 Reactions
2 Replies
380 Views
Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania. Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom