Wakuu
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook
==
Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama...
Wakuu kumbe kuna polisi wanaofanana na miti na udongo
===
"Nimeona mwingine anasema sema jamani nasikia hao polisi askari wanapiga, hiyo ni trailer tena yinyi mmekutana na polisi ambao sisi...
Wakuu
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD). Askofu wa dayosisi ya Karagwe.
SOMENI BILA SHIDA na SOMENI KWA FURAHA.
Niliishasema na ninarudia tena. Someni Bila Shida na Someni kwa...
Ukisikiliza wote wanaomjibu Gwajima,hawajibu yale aliyoyauliza muhusika,lakini wanakimbilia kumuatack muhusika,wamesahau hiki kizazi cha sasa siyo wajinga,bali wajinga ni wale wanaomjibu Gwajima...
MRADI WA KUCHIMBA VISIMA KATIKA BAADHI YA MAENEO-BIHARAMULO.
Wakati wakazi wa maeneo tofauti tofauti wilayani biharamulo wakisubilia kwa hamu kubwa mradi wa maji wa ziwa victoria bado mbunge wa...
My Take
1.Huu ni ujumbe Kwa vibaraka.
2.Ujumbe Kwa mabwana zao
3.Ujumbe Kwa wale Qanaolazimisha Kibaraka Atolewe Jela licha ya Kutoa Kauli za Uasi.
4.Ujumbe Kwa kina Gwajima & Wanaharaki...
Kuna tetesi zimeanza kuzagaa kutoka viunga vya bunge jijini Dodoma kuhusu baadhi ya wabunge wakinong'ona kuwa, vifungu vitafutwe kwa lazima ili kulazimisha Gwajima kuitwa kwenye kamati ya bunge...
Huyu jamaa halafu anajiamini nini? Haogopi hata. Yupo free na wala hana woga. Akiongea wanatumwa watu na kujituma kumjibu yeye ana wacheck tu halafu anapita kibabe mbele yao.
Askari polisi abakufanyia udhalilishaji hadharani na bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana. Kwa wenzetu hiyo ni kesi kubwa kama mhusika akivalia njuga na anaungwa mkono na mamlaka. Ila wewe...
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake
Magufuli
1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa...
Mzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha.
Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema.
Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
Mwanaharakati na Waziri wa zamani wa Sheria wa Kenya Martha Karua amesema hawezi kujibishana na wabunge kwa sababu yeye yuko level nyingine
Hajaitaja hiyo level
Source: Citizen tv
Ahsanteni sana
Imekuwa kawaida Sasa. Mtu akitoka akasema Polisi inateka au inanyamazia utekaji badala ya Polisi kujibu CCM ndo wanaibuka kujibu.
Mtu akisema vyombo vya Dola cinanyamazia utekaji CCM wanaibuka...
Ukiangalia hoja za Gwajima kweli Zina mashiko lakini kwa sisi wenye jicho la tatu tunajuwa ametumwa kuzima ajenda ya no reform no Election.
Nikikumbuka jinsi Jk alivyomtumia kumleta Lowassa...
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake wana jf popote mlipo.
Rejea mada tajwa hapo juu.
Taifa kwanza Mengine badae wakuu.
Mambo yamekuwa mengi kwa muda mchache katika Taifa...
VITABU VYA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Tafadhali tembelea Tovuti ya Jimbo letu (soft copies):
www.musomavijijini.or.tz
VITABU 2 (Volumes V & VI)...
Leo asubuhi The Chanzo wameondoa press ya Gwajima YouTube wakiweka wazi kuwa wametakiwa kuondoa story hiyo na TCRA sababu press hiyo imekosa 'Mizania', hawakulance kwenye namba ya watu waliotekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.