Alikuwepo bungeni wakati jambo la watu kutekwa lilipopelekwa, alikuwa miongoni mwa waliogonga meza kushangilia maamuzi ya kipuuzi na ya kikatili ya Spika wa Bunge kukataa Bunge kujadili jambo...
Cde CPA Amos Makalla akiongea na Wananchi wa Kilosa.
KILOSA: Inasemekana kwa mara ya kwanza Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Cde CPA Amos Makalla amehutubia mikutano mikubwa zaidi akiwa...
Ni mjadala mkali sana unaoendelea Upendo tv
Kwanza Kigaila amemkanusha Heche kwa kudanganya kuwa wanachadema waliohamia Chaumma ni 50 ilhali ukweli ni kuwa zaidi ya 10.000
Kigaila amesema wako...
Tunakwenda wiki ya pili bilaa Tweeter (X). Hakuna taarifa kutoka TCRA nini kimetokea Tweeter kutopatikana.
watu wanasema (speculate) kuwa Serikali imeifunga ,
KWAHIYO TUSEME TWEETER (x) NDIYO...
Mwanaharakati huru Ahmed Kombo ameonya Vijana kutoka mataifa jirani kuzungumzia vibaya Uongozi wa Tanzania pamoja na viongozi wake.
Kombo ameyasema hayo wakati akizungumza na Wanahabari huku...
Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA.
George Soros ndiye...
Kuna video ya vijana wa CCM walio valia bendera za chadema imerushwa na ITV eti wanasema hawataki No reforms no elections. Hii ni taarifa fake na ITV hamja tenda haki kwa kutoa picha fake zilizo...
Sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa. Not every aspect of state security should be clarified to politicians.
Mfano wabunge wanaowakilisha majimbo...
Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu...
Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro.
Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea...
Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si...
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye, ametoa wito kwa viongozi wa dini, vyombo vya habari na asasi za kiraia kushiriki kikamilifu katika kutoa elimu ya uraia juu ya umuhimu wa kupiga kura na...
Yani bado wabunge wanatuchukulia poa kiasi hiki?
===
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amewaeleza wananchi wa kata ya Illigamba kuwa tayari ameagiza vifaa vyake binafsi kwa ajili ya...
Wakuu!
Inadaiwa CHAUMMA wamengia mitini na kushindwa kulipa watu waliowasafisha kwenda kwenye Mkutano Mkuu uliofanyika jana Mei 21 jijini Dar es Salaam, walalamikaji wanasema waliapewa ahadi ya...
Akionekana Kumjibu Mwanaharakati wa Kitanzania anayeishi Nchini Marekani Mange Kimambi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda amesema ni wajibu wake pia kusimamia maendeleo yake binafsi kando...
Hii ni safi sana.
Wambane kila kona aishie kwenda Burundi, Msumbiji, Uganda, na jamhuri zingine za midizi kama ilivyo nchi anayoitawala.
Hakuna pa kujificha wala pa kukimbilia...
Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, he disregard party tradition, needs to be fixed Angewasikisha hoja zake...
Wanabodi,
Utangulizi
Tuanze na background issue ni Askofu wa Kanisa la FGBF, Askofu Mkuu, Zakaria Kakobe, amezumza kwa ukali kabisa kumwambia rais Magufuli ni mdhambi na kumtaka atubu, na asipo...
Raisi Samia acha kulaumu watu na kutuingiza kwenye matatizo yako binafsi
1. Hatuongiliwi na Kenya ni unyanyasaji, utekaji na kesi zisizo na mshiko kwa wapinzani wako ndizo zimeleta matatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.