Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha...
10 Reactions
90 Replies
6K Views
Ni dhahri matokeo ya Taifa kuongozwa na na viongozi wasio na elimu yenye viwango kusukuma maendeleo yameshakuwa wazi katika Taifa. Elimu humpa binadamu confidence inayomfanya kupambana na...
4 Reactions
7 Replies
806 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Njombe imetoa wito kwa vyama vya siasa nchini kuhakikisha michakato ya uchaguzi wa ndani inafanyika kwa uhuru na haki, ili kupata...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura. Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Mwamba kapotelea wapi? Madaraka haya aisee kama nguo ya kuazima
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mama yenu kabanwa kila kona sasa. Hatua ifuatayo ni kupiga kolabo na Mariam Khamis na Sabaha Salum Muchacho wadondoshe singo ya ‘kelele zenu hazijanikera bado’...
60 Reactions
198 Replies
13K Views
https://youtu.be/NOoBaOwO6g8?si=_q8xG3hw918zLpm7 Mwana-umajumui wa Uafrika kutoka Kenya katoa maoni yake kwenye chaneli ya Fanya Mambo Afrika kuhusu mambo yaliyojitokeza wiki iliyopita hapa...
1 Reactions
3 Replies
695 Views
Maombi haya nayaelekeza rasmi kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Serikali ya Marekani. Tunajua katika ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Bi. Kamala Harris, Serikali ya...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
Jerry Muro sikupingi wewe kumjibu Gwajima sababu alijitokeza hadharani kuongea aliyoyaongea na kujibiwa ni sawa . Sasa wewe unakuja kumjibu halafu unabagaza hadi viongozi wa nchi hii waliotoa...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba. Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa...
13 Reactions
59 Replies
3K Views
Wakuu, "Tunajua Rais naye kuna saa anahemewa. Lakini mzee, sisi tuko kwa ajili ya kumlinda Rais wetu. Hebu kaa sawasawa. Sitaki kukujibu kwa sababu nitakukosea adabu. Naogopa kushindana na wewe...
5 Reactions
105 Replies
6K Views
Kuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu...
54 Reactions
221 Replies
16K Views
Ndg zangu nimekutana na taarifa hii muhimu ya Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwakweli nimeshtuka kidogo na kujiuliza huyu bwana anajiamini nini...
8 Reactions
66 Replies
5K Views
Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania kulingana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 18(6) cha sheria ya Vyama vya siasa, ametangaza leo Jumanne Mei 27, 2025 kusitisha kutoa ruzuku kwa...
20 Reactions
216 Replies
14K Views
Baadhi ya watu au Kundi kubwa la watu ndani ya tawala wa raisi Samia Suluhu Hassan wameamua kwa azimio moja chini ya uangalizi wa chama cha Mapinduzi CCM kuwadhuru, kuwaua, kuwatesa na hata...
4 Reactions
3 Replies
484 Views
TCRA imeitaka media ya chanzo kushusha video za gwajima kwamba bado hawajatoa ufafanuzi mbona jamiiforums na BBC hawajaambiwa washushe na ufafanuzi bado. Nimesikia heti wanadai kwamba chanzo...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu, Najua kuna wajamaa na pro socialist wengu humu lakini naombeni mnisikilize kwanza. Kutokana na mambo yanayoendelea nchini, naona kama tumeshindwa kujiongoza. Watu wanatekwa, Ufisadi...
2 Reactions
5 Replies
430 Views
Kwa nini Polisi wamefanya Operesheni ya Kumteka Lissu na Kuvuruga Mikutano ya Chadema huko Tanzania Kusini? VIDEO: Purukushani za tukio la kukamatwa kwa Lissu na wenzake (Angalizo: Video ina...
33 Reactions
112 Replies
9K Views
https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu...
50 Reactions
120 Replies
9K Views
Wafanyakazi wa serekali ya Kenya asilimia 70.na wa mashirika aslimia 30.,wana veti feki.kwa mujibu wa serekali ya Kenya
0 Reactions
31 Replies
1K Views
Back
Top Bottom