Tetesi: Martin Shigella Katibu mkuu CCM, Mwanri kuwa RC Tanga

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro.

Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu.

Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao anawafikiria, mmoja ni Mwalimu UDSM na Mwingine yuko Wizara ya Ujenzi.

Majina ya Membe na Chenge hayo ndo hayakufikiriwa kabisa.

Jina la Makongoro limekuwepo na kulijadili sana take this also.

Kwa kifupi majina haya ndo yanatoa Katibu
1. Martin Shigella
2. Harrison Mwakyembe
3. Asha Migiro
4. Mwanazuoni wa UDSM
5. Makongoro NYERERE
6. Emmanuel Nchimbi

Nafasi ya Shigella anaiziba Aggrey Mwanri, akikataa Mwegelo ameula

Britanicca
 
Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yakiyoko mezani kwa Mkuu,
Likiwa ndani ya majina mengine mawili yaan La Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro,

Ila kwa wanaoona upepo unamnyemelea Shigela anakijua sana chama chetu,

Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao anawafikiria, mmoja ni Mwalimu UDSM na Mwingine yuko Wizara ya Ujenzi,

Jina la Membe na Chenge hayo ndo hayakufikiriwa kabisa,

Jina la Makongoro Kumekuwapo na kulijadili sana take this also

Kwa kifupi majina haya ndo yanatoa katibu
1.Martin Shigela
2.Harrison Mwakyembe
3.Asha Migiro
4.Mwanazuoni wa UDSM
5.Makongoro NYERERE
6.Emanuel Nchimbi
Nafasi ya Shigela anaiziba Aggrey Mwanri akikataa Mwogelo ameula

Britanicca
Vipi kuhusu Prof. Jay? Kupata uteuzi hivi punde tu!?
 
Acheni umbea mtafute ukweli msionekane waongo na wazushi. Nani alikwambia? Bila kutaja chanzo chako, unatwanga maji na kuonyesha ulivyo na tabia ya umbea.
 
Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro.

Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu.

Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao anawafikiria, mmoja ni Mwalimu UDSM na Mwingine yuko Wizara ya Ujenzi.

Majina ya Membe na Chenge hayo ndo hayakufikiriwa kabisa.

Jina la Makongoro limekuwepo na kulijadili sana take this also.

Kwa kifupi majina haya ndo yanatoa Katibu
1. Martin Shigella
2. Harrison Mwakyembe
3. Asha Migiro
4. Mwanazuoni wa UDSM
5. Makongoro NYERERE
6. Emmanuel Nchimbi

Nafasi ya Shigella anaiziba Aggrey Mwanri, akikataa Mwegelo ameula

Britanicca

Sio kweli. Enzi zile yes. JPM haendi sambamba na wapiga ramli wa CCM
 
Ramli chonganishi
 
Mkuu, acha ramli chonganishi hizo, unaweza kutupeperushia ndege wetu. Kamanda Magu siyo wa kuendea kwa mganga kupiga ramli!
 
Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro.

Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu.

Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao anawafikiria, mmoja ni Mwalimu UDSM na Mwingine yuko Wizara ya Ujenzi.

Majina ya Membe na Chenge hayo ndo hayakufikiriwa kabisa.

Jina la Makongoro limekuwepo na kulijadili sana take this also.

Kwa kifupi majina haya ndo yanatoa Katibu
1. Martin Shigella
2. Harrison Mwakyembe
3. Asha Migiro
4. Mwanazuoni wa UDSM
5. Makongoro NYERERE
6. Emmanuel Nchimbi

Nafasi ya Shigella anaiziba Aggrey Mwanri, akikataa Mwegelo ameula

Britanicca
mere speculations..........................
 
Mijamaa ya uchafuzi.
 
Hizi sio zama za kiku boy unatabiri kilakitu,sasahv tuna jiwe kwelikweli anafikiri mwenyewe anaamua hata makamu au waziri mkuu anakuwa surprised!! Jiulize we nani mpaka uanze kujua??
Ila mkuu angempa makonda ubalozi hasa South Africa a promote mziki na biashara na akazuie madawa ubalozi wetu kule ametulia sana
 
Self Promo at work
 
Makondakta akajiajiri tu.
 
Back
Top Bottom