Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali ya kawaida nani anaharibu amani..? "....Je, ni anayetumia nguvu kubwa na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya...
12 Reactions
15 Replies
948 Views
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu...
5 Reactions
121 Replies
7K Views
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?.. Waliokamatwa kwa kudai HAKI...
9 Reactions
10 Replies
897 Views
Mara baada ya kusambaa kwa Barua mitandaoni iliyodaiwa kuwa imetoka kwa Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa ikihusu kufungia shughuli za Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la...
20 Reactions
89 Replies
9K Views
Watanzania kama hamjui baadhi yenu mnatengeneza nchi mbayo itakuja kuwa kama Uganda ya mtu mmoja na family yake. Ndiyo kitu mabacho hizo familia chache za maraisi wastaafu wanataka kufanya...
11 Reactions
17 Replies
1K Views
Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko. nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Akaunti na mali zote za Kanisa la Gwajima zifungwe na zikabidhiwe kwa kabidhi wasii mkuu wa serikali haraka popote zilipo Wahuni wasije kukimbia nazo
-1 Reactions
9 Replies
648 Views
Awali ya yote Rais Samia Suluhu Hassan nikupongeze kwa kibarua kizito ulicho nacho cha kuhakikisha Tanzania na Watanzania tunapata maisha bora. Wapo wanao kubedha, wapo wanao kukejeli, lakini...
1 Reactions
7 Replies
917 Views
Mi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa. Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu" Au...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nakumbuka John Pombe Magufuli alivyokuwa anawatukana mapadre kwa kuungamkono chanjo na kuongea nao kwa dharau na kejeli. Kumbe wenzake wanaongea na Mungu! Hiyo hiyo covid ndiyo ilichangia...
5 Reactions
6 Replies
617 Views
Haya mambo yameanza toka 2017 Chadema wamesema yote ambayo yanatokea sasa. Walisema wataanza na Chadema , watakuja makanisa, sasa ni CCM kwa CCM. Kinachofuata kama sio ndugu wa kiongozi huna...
1 Reactions
2 Replies
290 Views
Wakati alipokuwa na kashfa ya ngono kipindi kile.. ccm walisimama naye kumtetea mpaka wakapovuka... Yalitokea mazonge yake mengi tu lakini walifunika kombe mwana haramu akapita... Nyakati...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Katika historia ya siasa na uongozi wa Tanzania, ni nadra sana kwa viongozi wa dini au wanasiasa walioko ndani ya mfumo wa utawala kusimama hadharani kupaza sauti dhidi ya ukiukwaji wa haki za...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana...
41 Reactions
218 Replies
21K Views
Mnaojua tuelewesheni sisi maponjoro.
0 Reactions
6 Replies
600 Views
Ally Hapi amesema kila jambo linawakati wake, wakati Rais Samia amefungua milango kuwasikiliza kama wananchi wengi wanahaki ya kusikilizwa. Sasa tatizo la wenzetu ni moja tu wanazani wapinzania...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Mwijaku amesema ana nia ya kumshtaki mnec Askofu Gwajima kwa kumuingiza mwanawe UVCCM kinyume cha katiba Mwijaku amesema ni lazima askofu Gwajima aseme alikuwa na...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Watanzania msimuache kiongozi wenu atekwe ! hapo kwenye kanisa la gwajima. shikilieni hapo hapo msianzishe vurugu ila wakianzisha vurugu jiteteeni.
3 Reactions
10 Replies
875 Views
Sipo upande wowote ila nimejaribu kuwaza hivi tu Nianze kwa lissu Huyu kweli mwanzo alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa upande wangu na mtazamo wangu ila kwa sasa naona hana ushawishi anatembea...
-1 Reactions
73 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi Washauri wa Rais wafuatao:- (i) Amemteua Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb.) kuwa Mshauri wa Rais (Siasa na...
11 Reactions
112 Replies
14K Views
Back
Top Bottom