#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,857
141,793
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Angewaambia"Nitarudi hapa kwa mabwege nazi wangu kuendelea kuwachuna vihela vyenu"😂😂😂😂😂
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Nani alimchagua analeta dharau kwa waliomuibia kura
 
Huo ndiyo uanamume. Hautingishwi kwa sababu ya kutetea ugali. Utaupata kwingine tu.

Anyway, bungeni ataruhusiwa. Ila yeye na Polepole wanafukuzwa chamani.

Wiki hii ya kesho haitoisha.
Wawafukuze tu wananchi tumeshawaelewa hawa ndo wanamuenzi Magufuli kwa vitendo aliyesema Chanjo hazifai.

2025 tuna letu Jambo,ndo watajua nguvu ya JPM japo alipitiwa na Israel akamtwaa.
 
Back
Top Bottom